- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Watu Wote Wanaishi
- Katika Mwanga wa Mungu
- I
- Sasa kwa kushangilia sana,
- utakatifu wa Mungu na haki
- vinakua ulimwenguni kote,
- ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
- Miji ya mbinguni inacheka,
- falme za dunia zinacheza.
- Ni nani asiyesherehekea?
- Ni nani asiyetoa machozi?
- Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
- hawaliabishi jina la Mungu,
- wakiishi katika mwanga wa Mungu,
- wakiwa na amani na kila mmoja.
- II
- Dunia ni ya mbingu,
- mbingu inaungana na dunia.
- Mwanadamu ndiye ukamba unaounganisha mbingu na dunia.
- Kwa sababu ya utakatifu wa mwanadamu,
- kwa sababu ya upya wake,
- mbingu haijifichi kutoka kwa dunia tena,
- dunia haiinyamazii mbingu tena.
- Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
- hawaliabishi jina la Mungu,
- wakiishi katika mwanga wa Mungu,
- wakiwa na amani na kila mmoja.
- Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
- hawaliabishi jina la Mungu,
- wakiishi katika mwanga wa Mungu,
- wakiwa na amani na kila mmoja.
- III
- Hewa ni changamfu,
- ukungu mzito umetoweka,
- jua linaangaza kotekote.
- Hewa ni changamfu,
- ukungu mzito umetoweka,
- jua linaangaza kotekote.
- Hewa ni changamfu,
- ukungu mzito umetoweka,
- jua linaangaza kotekote.
- Hewa ni changamfu,
- ukungu mzito umetoweka,
- jua linaangaza kotekote.
- Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na tabasamu.
- Ukiwa umejificha mioyoni mwao,
- utamu unaenda kwa mwendo mrefu.
- Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
- hawaliabishi jina la Mungu,
- wakiishi katika mwanga wa Mungu,
- wakiwa na amani na kila mmoja.
- Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
- hawaliabishi jina la Mungu,
- wakiishi katika mwanga wa Mungu,
- wakiwa na amani na kila mmoja,
- wakiwa na amani na kila mmoja,
- wakiwa na amani na kila mmoja.
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Jumanne, 28 Agosti 2018
Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni