Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno. Hawatafuti nje ya Biblia matamko Yake katika kurudi Kwake. Je, wataweza kukaribisha kurudi kwa Bwana kama wataendelea kushikilia wazo hili? Je, Mungu angeweza kuzuiliwa tu kwa kuongea maneno yaliyo ndani ya Biblia?
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 25 Septemba 2018
Alhamisi, 13 Septemba 2018
Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed
Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu?
Jumatano, 12 Septemba 2018
Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi"
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Katika Enzi ya Neema mwanadamu alikuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo kazi ya ukombozi wa wanadamu wote ulihitaji wingi wa neema, ustahimili usio na mwisho na uvumilivu, na hata zaidi, sadaka ya kutosha kulipia dhambi za wanadamu, ili kufikia athari yake. Kile wanadamu waliona katika Enzi ya Neema kilikuwa tu sadaka Yangu ya dhambi ya binadamu, Yesu.
Jumatatu, 3 Septemba 2018
Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?
Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?
Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki.
Jumatano, 29 Agosti 2018
Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected
Mwenyezi Mungu anasema, “Katika kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. Alipata ufahamu wa kina kwamba Yesu hakuwa kama binadamu wa kawaida. Ingawa mwonekano Wake wa binadamu ulikuwa wa kawaida kabisa, Alijaa upendo, huruma, na ustahimilivu kwa binadamu.
Jumapili, 26 Agosti 2018
Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- | Unapaswa Kupokeaje
- Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
- I
- Mwili wa Mungu utajumlisha
- kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
- Atakapofanywa mwili,
- Ataleta
- matunda ya kazi Aliyopewa
- ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
- awape uhai na awaonyeshe njia.
- Mwili wowote usiokuwa na dutu
- Yake sio Mwili wa Mungu.
Jumanne, 14 Agosti 2018
Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa
Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa
Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa. Kwa mfano, mnaweza kujua ni nini Mungu anataka muelewe na kutenda; hili ni jambo ambalo mtu wa kufaa ambaye ana uwezo wa uelewa anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya. Maneno ya Mungu sasa ni hasa wazi na bayana, na Mungu husema mambo mengi ambayo watu hawajachukulia maanani au hali mbalimbali za mtu. Maneno yake yanajumuisha yote, angavu kama nuru ya mwezi kamili. Hivyo sasa, watu wanaelewa masuala mengi; wanachokosa ni kuweka neno Lake katika vitendo. Lazima watu wapitie vipengele vyote vya ukweli kwa kina, na kuutafiti na kuutafuta kwa undani zaidi, sio kusubiri tu kuchukua kile ambacho wamepewa bila shida; vinginevyo wanakuwa wadogo zaidi ya barakala.
Alhamisi, 31 Mei 2018
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
Mwenyezi Mungu alisema, Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita.
Maono ya Kazi ya Mungu (1)
Maono ya Kazi ya Mungu (1)
Mwenyezi Mungu alisema, Yohana alimfanyia Yesu kazi kwa miaka saba, na tayari alikuwa ameandaa njia Yesu alipofika. Kabla ya haya, injili ya ufalme wa mbinguni iliyohubiriwa na Yohana ilisikika kotekote katika nchi, hivyo ilienea kutoka upande mmoja hadi upande mwingine wa Uyahudi, na kila mtu alimwita nabii. Wakati huo, Mfalme Herode alitamani kumuua Yohana, lakini hakuthubutu, kwani watu walimheshimu sana Yohana, na Herode aliogopa kwamba kama angemuua Yohana wangemuasi.
Jumanne, 22 Mei 2018
Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo
Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo
Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi?
Jumatatu, 21 Mei 2018
"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu
"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu
"Yehova" na "Yesu" yalikuwa ni majina ya Mungu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema, na imetabiriwa katika Ufunuo kuwa Mungu atakuwa na jina jipya katika siku za mwisho. Ni kwa nini Mungu anaitwa kwa majina tofauti katika enzi mbalimbali? Majina haya mawili ya "Yehova" na "Yesu" yana umuhimu gani? Video hii fupi itakusaidia kukutatulia fumbo hili.
Jumapili, 13 Mei 2018
New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu
New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu
Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesu katika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili. Alijaribu kutafuta jibu katika Biblia, lakini akakosa kuelewa fumbo hilo... Lakini alikuwa na imani thabiti kuwa hakuna jina lingine chini ya mbingu lililopewa wanadamu, hivyo Yesu pekee ndiye Mwokozi, na kuwa muradi tushikilie jina la Yesu, bila shaka tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Jumatano, 11 Aprili 2018
"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana
"Vunja Pingu na Ukimbie" (3) - Enda Nje ya Biblia: Hudhuria Karamu ya Ufalme wa Mbinguni Pamoja na Bwana
Watu wengi ambao wana imani katika Bwana huhisi kwamba maneno na kazi ya Mungu vyote viko katika Biblia, kwamba wokovu wa Mungu kama ulivyoelezewa katika Biblia tayari umejaa, kwamba imani katika Mungu lazima iwe kwa msingi wa Biblia na kwamba kama imani yetu kwa Mungu ni kwa msingi wa Biblia, basi kwa hakika tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Dhana hizi za kidini hutenda kama kamba zisizoonekana ambazo huzifunga kwa uthabiti na kuzisonga fikira zetu kiasi kwamba hatuitafuti kazi ya Roho Mtakatifu na hutufanya tusiweze kuitii kazi ya sasa ya Mungu.
Jumatano, 4 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Je, Utatu Mtakatifu Upo?
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Je, Utatu Mtakatifu Upo?
Mwenyezi Mungu alisema, Ni baada tu ya ukweli wa Yesu kuwa mwili kutokea ndipo mwanadamu alipogundua hili: Si Baba pekee aliye mbinguni, bali pia Mwana, na hata Roho Mtakatifu. Hii ndiyo dhana ya kawaida aliyonayo mwanadamu, kwamba kuna Mungu wa aina hii mbinguni: Utatu ambao ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, wote katika nafsi moja. Wanadamu wote wana fikra hizi: Mungu ni Mungu mmoja, ila Anajumuisha sehemu tatu, kile ambacho wale wote waliofungwa kwa huzuni katika hizi dhana za kawaida wanachukulia kuwa kuna Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Ijumaa, 30 Machi 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme. Kazi Yangu katika enzi hizi tatu hutofautiana katika maudhui kulingana na asili ya kila enzi, lakini katika kila hatua huambatana na mahitaji ya mwanadamu—au, sahihi zaidi, inafanywa kulingana na ujanja ambao Shetani anatumia katika vita Vyangu dhidi yake.
Jumamosi, 24 Machi 2018
Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo
Mwenyezi Mungu alisema, Nimefanya kazi kubwa miongoni mwa binadamu, na maneno ambayo Nimeeleza wakati huu yamekuwa mengi. Maneno haya ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, na yalikuwa yanaeleza ili binadamu aweze kulingana na Mimi.
Jumapili, 14 Januari 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 45. Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa
Sura ya 45. Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa |
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 45. Watu Waliochanganyikiwa Hawawezi Kuokolewa
Mwenyezi Mungu alisema, Imesemwa “Yeye afuataye hadi mwisho ataokolewa,” lakini hili ni rahisi kuweka katika vitendo? Sio, na watu wengine hawawezi kufuata hadi mwisho. Pengine watakapokabiliwa na wakati wa majaribu, ama uchungu, ama jaribio, basi wanaweza kuanguka, na kutoweza kusonga mbele tena.
Alhamisi, 11 Januari 2018
Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo|Fungua Mlango na Kumkaribisha Bwana!
Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo|Fungua Mlango na Kumkaribisha Bwana!
Mwenyezi Mungu alisema, “Je, hukutamani sana kumwona Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewa.Jumatatu, 18 Desemba 2017
Jumatano, 13 Desemba 2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)