Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-neno-la-mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-neno-la-mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 5 Juni 2019

2019 Swahili Gospel Worship song | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" (Lyrics Video)



Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu"

I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.
Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Jumamosi, 16 Machi 2019

Wimbo wa Kuabudu | 50. Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

Wimbo wa Kuabudu | 50. Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

I
Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora;
ingawa kusudi linabaki bila kubadilika,
mbinu ya kazi Yake inabadilika kila wakati,
na hivyo pia wale wanaomfuata.
Kadiri ambavyo Mungu anafanya kazi zaidi,
ndivyo mwanadamu anavyojua zaidi, anavyomjua kikamilifu,
ndivyo tabia ya mwanadamu inavyobadilika zaidi
pamoja na kazi Yake ifaavyo.

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu



Upendo na huruma za Mungu 
hupenyeza kazi Yake 
ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, 
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, 
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu 
hupenyeza kazi Yake 
ya usimamizi kwa utondoti.

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.
Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi ya Mungu ni wadanganyifu.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi


                                                           
Wimbo wa Maneno ya Mungu
| Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi 

I

Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho. Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja, yote inalingana na kile ambacho binadamu wanahitaji, ama hasa inalingana na ujanja ambao Shetani anatumia, anapopigana na Yeye. Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani, kufunua hekima ya Mungu na ukuu, na kufichua ujanja wote wa Shetani, hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake, hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.

Jumanne, 28 Agosti 2018

Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Nyimbo

  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • Watu Wote Wanaishi
  • Katika Mwanga wa Mungu
  • I

  • Sasa kwa kushangilia sana, 
  • utakatifu wa Mungu na haki 
  • vinakua ulimwenguni kote, 
  • ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. 
  • Miji ya mbinguni inacheka, 
  • falme za dunia zinacheza. 
  • Ni nani asiyesherehekea? 
  • Ni nani asiyetoa machozi? 
  • Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; 
  • hawaliabishi jina la Mungu, 
  • wakiishi katika mwanga wa Mungu, 
  • wakiwa na amani na kila mmoja.

Jumapili, 26 Agosti 2018

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, siku za mwisho, Yesu



  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • | Unapaswa Kupokeaje
  • Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
  • I
  • Mwili wa Mungu utajumlisha 
  • kiini cha Mungu na maonyesho Yake. 
  • Atakapofanywa mwili, 
  • Ataleta 
  • matunda ya kazi Aliyopewa 
  • ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote, 
  • awape uhai na awaonyeshe njia. 
  • Mwili wowote usiokuwa na dutu 
  • Yake sio Mwili wa Mungu.

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, ukweli


  • Wimbo wa Maneno ya Mungu | 
  • Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu
  • ni Kumwokoa Binadamu
  •  
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.

Jumanne, 21 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, maneno-ya-Mungu



  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa
  • I
  • Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
  • Amekuwa akifichua kwao
  • Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
  • bila kukoma, kila wakati.
  • Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
  • Mungu huzungumza na kufanya kazi
  • ili kuonyesha tabia Yake na kiini.

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Umeme wa Mashariki, Mungu, baraka,


  • Wimbo wa Maneno ya Mungu | 
  • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
  • I
  • Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
  • kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
  • Atamwokoa na kumpata kabisa;
  • kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
  • Atamfikisha katika hatima sahihi.
  • Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
  • ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
  • Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song


Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song


Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,

Jumatano, 13 Desemba 2017

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu



Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

I
    Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.