Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumsifu-mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumsifu-mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 31 Desemba 2019

Latest Swahili Praise and Worship Song | "Watu Wote wa Mungu Wamsifu Kikamilifu" | Tenzi ya Rohoni


 Tumenyakuliwa mbele ya Mungu.

Tunajiunga na karamu ya wingi, tuna furaha sana.

Tunafurahia maneno ya Mungu na tunaelewa ukweli,

roho zetu zimeokolewa na tunahisi huru.

Mioyo yetu imejaa shukrani na sifa.

Hatuna budi ila kuimba.

Furaha iliyo mioyoni mwetu haiwezi kuelezeka.

Sifu na uruke kwa furaha.

Mungu anastahili heshima na utukufu.

Mapenzi ya Mungu yanafanyika hapa duniani.

Watu wote wa Mungu wamsifu kikamilifu.

Jumapili, 29 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5 | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

Miongoni mwa wanadamu, ni nani aishiye katika uchungu na ambaye amevumilia maelfu ya miaka ya upotovu wa Shetani, ambaye hatamani—hana hamu—ya kuwasili kwa Mungu? Je, ni waumini na wafuasi wangapi wa Mungu katika enzi zote, ambao chini ya ushawishi wa Shetani, wamevumilia taabu na dhiki, mateso na kutengwa? Ni nani asiyetumaini kuwa ufalme wa Mungu utakuja hivi karibuni? Baada ya kuonja furaha na masikitiko ya binadamu, ni nani kati ya wanadamu asiyetamani ukweli na haki vimiliki kati ya wanadamu?

Ijumaa, 15 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani”

Smiley face


  • Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
  • Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
  • I
  •     Nimerudi kwa familia ya Mungumchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu. Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu. Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.