Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Drama-yenye-muziki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Drama-yenye-muziki. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 21 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo



Utambulisho

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. … Huku akianguka kutoka kwa rehema na kutembea katika njia ya upotovu, alikanyagwa na ulimwengu na kukung’utwa na makovu na vilio.

Alhamisi, 15 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi



Utambulisho

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi



Utambulisho

Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

Jumatano, 14 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu



Utambulisho

Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung’ang’ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu



Utambulisho

Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Jumanne, 13 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu


Utambulisho

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …