Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tenzi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tenzi. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 17 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)


2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Ulimwengu" (Swahili Subtitles)


Ulimwengu ni mkubwa sana na usio na kikomo, na una nyota nyingi mno zisizohesabika katika mzunguko sahihi…. Unatamani kujua aliyeziumba sayari za juu za ulimwengu, na yule ambaye huamuru tao la mtupo angani? Dondoo ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo ya Mungu Kuutawala Ulimwengu itakuonyesha nguvu yenye uwezo ya Muumba.

Sikiliza zaidi: Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki, Msifuni Mwenyezi Mungu

Jumatatu, 18 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya




Upendo wa Kweli wa Mungu

Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha“Kama Nisingeokolewa na Mungu”


Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki



  • Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
  • Kama Nisingeokolewa na Mungu
  • I
  •     Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.

Ijumaa, 15 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Nitampenda Mungu Milele”


Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki



  • Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
  • Nitampenda Mungu Milele 
  • I
  •     Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni, na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini Hujawahi kuniacha. Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi. Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.