Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 21 Agosti 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?


Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana. Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake. Lakini Mchungaji Ma, kiongozi wa kanisa lake, anapoona hili, anajaribu mara kwa mara kuingilia kati na kumzuia Zheng Mu'en.