Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku-za mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku-za mwisho. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 12 Septemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord


Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi katika mwili—Amefika nchini China kufanya kazi ya hukumu.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Uhusiano Kati ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?


 Katika ulimwengu wa kidini, kunao wengi wanaosadiki kwamba mradi tu wanahifadhi jina la Bwana, kusadiki kabisa katika ahadi ya Bwana na kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana, wakati Atarudi wanaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Je, yeyote anaweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni kwa kumsadiki Bwana kwa njia hii?

Jumanne, 21 Agosti 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?


Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana. Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake. Lakini Mchungaji Ma, kiongozi wa kanisa lake, anapoona hili, anajaribu mara kwa mara kuingilia kati na kumzuia Zheng Mu'en.