Mwenyzei Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa.
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Tamani sana Mwenyezi Mungu: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I...
Tamani sana Mwenyezi Mungu: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I...: kumjua Mungu Kazi ya Mungu , Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III Mwenyezi Mungu alisema,Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa n...
Ijumaa, 8 Desemba 2017
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II
Muumba |
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II
Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, wakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Je, mada hii ni muhimu kwako? Ni sehemu gani katika mada hii ni muhimu kwako?
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I
Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila mmoja atakutana nalo kwenye mchakato wote wa kusadiki kwake katika Mungu na suala ambalo lazima lizungumziwe. Ni suala muhimu, lisiloepukika ambalo mwanadamu hawezi kujitenganisha nalo.
Alhamisi, 7 Desemba 2017
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
kumjua Mungu |
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake
Mwenyezi Mungu alisema,Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu
Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika zinaongea kuhusu Mungu mmoja wa kweli, ufalme umeshuka ulimwenguni.
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Dibaji
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Dibaji
Mwenyezi Mungu alisema, Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake.
Jumatano, 6 Desemba 2017
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)
Mwenyezi Mungu alisema,Matokeo ya kutimizwa kutoka kwa kazi ya kushinda kimsingi ni kwa ajili ya mwili wa mwanadamu kuacha kuasi, yaani, ili fikira za mwanadamu zipate ufahamu mpya wa Mungu, moyo wake umtii Mungu kabisa, na aamue kuwa wa Mungu. Jinsi ambavyo mwenendo wa mtu ama mwili wake unavyobadilika haiamui ikiwa ameshindwa.
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)
hukumu,ukamilifu |
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)
Mwenyezi Mungu alisema,Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi? Hamna hata hali ya kawaida ya ubinadamu—hilo si la kusikitisha?
Jumatatu, 4 Desemba 2017
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)
Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)
Mwenyezi Mungu alisema,Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.
Kuhusu Biblia (4)
imani ya kidini |
Kuhusu Biblia (4)
Mwenyezi Mungu alisema,Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.
Jumapili, 3 Desemba 2017
Kuhusu Biblia (3)
Kazi ya Mungu,Biblia |
Kuhusu Biblia (3)
Mwenyezi Mungu alisema,Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote.
Kuhusu Biblia (2)
Biblia,imani |
Kuhusu Biblia (2)
Mwenyezi Mungu alisema,Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, wajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika “Agano Jipya” linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)