Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushindi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushindi. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan



Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia.

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tatu

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tatu

Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi.

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Mwenyezi Mungu, ushuhuda , majaribio

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala kufanya mzaha, lakini ni kitu kisichotarajiwa kabisa: Mungu aliketi chini na Akazungumza na watu kwa utulivu. Kusudi Lake ni gani? Unaona nini Mungu anaposema, “Leo, Nimeanza kazi mpya juu ya ulimwengu. Nimewapa watu walio duniani mwanzo mpya, na Nimewaambia wote watoke nyumbani Mwangu. Na kwa kuwa kila mara watu hupenda kujideka, Nawashauri wajijue, na wasiisumbue kazi Yangu kila mara”? Ni huu "mwanzo mpya" ambao Mungu anazungumzia ni upi?

Jumanne, 21 Agosti 2018

Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa

Umeme wa Mashariki, Mungu, baraka,


  • Wimbo wa Maneno ya Mungu | 
  • Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
  • I
  • Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
  • kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
  • Atamwokoa na kumpata kabisa;
  • kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
  • Atamfikisha katika hatima sahihi.
  • Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
  • ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
  • Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.

Jumamosi, 3 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya “Mungu Mwenyewe” ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee.

Alhamisi, 18 Januari 2018

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo"11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi"

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya.

Jumatatu, 4 Desemba 2017

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

 Mwenyezi Mungu alisema,Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.