Jumanne, 12 Desemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Mwenyezi Mungu alisema,Je, haya mambo ambayo Nimeongea kuhusu hivi karibuni ni ya kina zaidi kuliko ya wakati uliopita? (Ndiyo.) Hivyo uelewa wenu sasa basi ni wa kina zaidi? (Ndiyo.) Najua kwamba sasa watu wengi wananitarajia kusema ni nini hasa utakatifu wa Mungu, lakini Ninapozungumza kuhusu utakatifu wa Mungu Nitaongea kwanza kuhusu matendo ambayo Mungu anafanya.

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Utakatifu wa Mungu (III)

Mwenyezi Mungu alisema, Mnahisi vipi baada ya kusema sala zenu? (Tunafurahia na kuguswa sana.) Wacha tuanze ushirika wetu. Tulishiriki mada ipi wakati uliopita? (Utakatifu wa Mungu.) Na ni kipengele kipi cha Mungu Mwenyewe kinahusisha utakatifu wa Mungu? Je, kinahusisha kiini cha Mungu? (Ndiyo.) Kwa hivyo ni nini hasa mada inayohusiana na kiini cha Mungu? Je, ni utakatifu wa Mungu? (Ndiyo.)

Jumatatu, 11 Desemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Utakatifu wa Mungu (II)

Habari za jioni kila mtu! (Habari ya jioni Mwenyezi Mungu!) Leo, kaka na dada, hebu tuimbe wimbo. Tafuta mmoja ambao mnapenda na ambao mmeimba mara nyingi kabla. (Tungependa kuimba wimbo wa neno la Mungu “Upendo Safi Bila dosari.”)

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Muumba

Utakatifu wa Mungu (I)

Mwenyezi Mungu alisema,Tumekuwa na ushirika wa ziada wa mamlaka ya Mungu leo, na hatutazungumza kuhusu haki ya Mungu sasa hivi. Leo tutazungumza kuhusu mada nzima mpya—utakatifu wa Mungu. Utakatifu wa Mungu pia ni kipengele kingine cha kiini cha kipekee cha Mungu, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kushiriki mada hii hapa.

Jumapili, 10 Desemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
dutu ya Mungu

Mamlaka ya Mungu (II)

Mwenyezi Mungu alisema,Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi?

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
dutu ya Mungu

Tabia ya Haki ya Mungu

 Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia.

Jumamosi, 9 Desemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima


Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I


Mamlaka ya Mungu (I)


Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu? 

Tamani sana Mwenyezi Mungu: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I...

Tamani sana Mwenyezi Mungu: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I...: kumjua Mungu Kazi ya Mungu , Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III Mwenyezi Mungu alisema,Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa n...

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
kumjua Mungu

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III



Mwenyzei Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa. 

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Muumba

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, wakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Je, mada hii ni muhimu kwako? Ni sehemu gani katika mada hii ni muhimu kwako? 

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila mmoja atakutana nalo kwenye mchakato wote wa kusadiki kwake katika Mungu na suala ambalo lazima lizungumziwe. Ni suala muhimu, lisiloepukika ambalo mwanadamu hawezi kujitenganisha nalo.

Alhamisi, 7 Desemba 2017

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

kumjua Mungu

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Mwenyezi Mungu alisema,Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu
Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika zinaongea kuhusu Mungu mmoja wa kweli, ufalme umeshuka ulimwenguni.