Jumamosi, 14 Julai 2018

Tamko la Kwanza

Tamko la Kwanza

Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu mlipokabiliwa na joka kuu jekundu? Je, moyo wenu wa ibada hulifedhehesha kweli joka kuu jekundu? Ni kupitia tu kwa jaribio la maneno Yangu ndipo Naweza kutimiza lengo Langu la kulitakasa kanisa na kuwachagua wale wanaonipenda Mimi kweli.

Jumanne, 10 Julai 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Dibaji

Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, sembuse kujua kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, kwamba wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika. Watu hawachukulii imani kwa Mungu kwa uzito kwa kuwa kuamini Mungu ni jambo geni, jambo lisilo la kawaida sana kwao. Kwa njia hii, hawafikii mahitaji ya Mungu.

Jumatatu, 9 Julai 2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,

mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.

Mara utakapomwelewa Mungu wako,

utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,

na kufurahia kile kilicho ndani Yake

kwa imani na usikivu wako wote.

Jumamosi, 7 Julai 2018

Tamko la Kwanza

Tamko la Kwanza

Sifa zimekuja Uyahudi na makazi ya Mungu yameonekana. Jina tukufu takatifu linasifiwa na watu wote, na linaenea. Ah, Mwenyezi Mungu! Mkuu wa ulimwengu, Kristo wa siku za mwisho—Yeye ni Jua linalong’aa, na Ameinuka juu ya Mlima Sayuni ulio na uadhimu na mzuri kabisa katika ulimwengu mzima ...

Ijumaa, 6 Julai 2018

Tamko la Hamsini

Tamko la Hamsini

Makanisa yote na watakatifu wote wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita na kutumainia siku za usoni: Ni mangapi kati ya matendo yenu ya zamani ndiyo yanayostahili, na ni mangapi kati yao yalishiriki katika ujenzi wa ufalme? Usiwe mtu mwenye kujifanya kujua kila kitu! Unapaswa kuona wazi dosari zako na unafaa kuelewa hali zako mwenyewe.

Jumapili, 1 Julai 2018

Utangulizi

Utangulizi

"Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima" ni matamshi yanayoonyeshwa na Kristo, ambayo kwayo Anatumia utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Yanajumlisha kipindi cha kuanzia Februari 20, 1992 hadi Juni 1, 1992, na yana jumla ya matamshi arobaini na saba. Katika fungu hili la matamshi, Mungu anaonyesha maneno Yake kutoka kwa mtazamo wa Roho. Namna ambayo Anazungumza haiwezi kufikiwa na wanadamu walioumbwa.

Jumamosi, 30 Juni 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kukaribia Hatari na Kurudi"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Ijumaa, 29 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utangulizi

Mwenyezi Mungu anasema, “Sehemu hii ya maneno ya Mungu ina jumla ya vifungu vinne; vilionyeshwa na Kristo kati ya mwishoni mwa mwaka wa 1992 na 2005. Mengi ya maneno hayo yanategemezwa kwa rekodi kutoka kwa mahubiri na ushirika Wake wakati Alitembea katika makanisa. Maandiko haya hayajapitia mabadiliko yoyote, wala Kristo hajafanya mabadiliko yoyote.

Alhamisi, 28 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu | New Swahili Gospel Choir Full Album Documentary 2018 | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu"

Throughout the vast universe, all celestial bodies move precisely within their own orbits. Under the heavens, mountains, rivers, and lakes all have their boundaries, and all creatures live and reproduce throughout the four seasons in accordance with the laws of life…. This is all so exquisitely designed—is there a Mighty One ruling and arranging all this?

Jumatano, 27 Juni 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

Jumanne, 26 Juni 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"

Jumatatu, 25 Juni 2018

Kwaya za Injili | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)

Kwaya za Injili | Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love (Trailer)

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake.