Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo.
Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali. Walidhani ni bora kukesha na kungoja. …Wakiendelea kungoja kwa kimyakimya, binamu wa Yang Hou'en, Li Jiayin alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, na kueneza injili kwao. Baada ya majadiliano makali sana, Yang Hou'en hatimaye alielewa maana ya kweli ya “kukesha na kuomba,” na aliiweza kuona kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, njia, uzima, na hii ni sauti ya Bwana, na Mwenyezi Mungu ni kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu ambaye walikuwa wamemngoja kwa miaka mingi sana …
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni