Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ujio-wa-pili-wa-Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ujio-wa-pili-wa-Yesu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 29 Oktoba 2019

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake


Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali. Walidhani ni bora kukesha na kungoja. …Wakiendelea kungoja kwa kimyakimya, binamu wa Yang Hou'en, Li Jiayin alikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, na kueneza injili kwao. Baada ya majadiliano makali sana, Yang Hou'en hatimaye alielewa maana ya kweli ya “kukesha na kuomba,” na aliiweza kuona kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, njia, uzima, na hii ni sauti ya Bwana, na Mwenyezi Mungu ni kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu ambaye walikuwa wamemngoja kwa miaka mingi sana …

Jumapili, 9 Juni 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"



Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"

Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna mtu mbali na Yeye anayeweza kujua mawazo yetu yote, au kufahamu asili yetu na kiini chetu kwa dhahiri na ukamilifu, ama kuhukumu uasi na upotovu wa binadamu, ama kusema nasi na kufanya kazi kati yetu kama hivi kwa niaba ya Mungu aliye mbinguni. Hakuna mtu isipokuwa Yeye ambaye amepewa mamlaka, hekima, na heshima ya Mungu; tabia ya Mungu na kile Mungu Anacho na alicho yanatoka, kwa ukamilifu wao, ndani Yake. Hakuna mtu mbali na Yeye ambaye anaweza kutuonyesha njia na kutuletea mwangaza.

Jumanne, 9 Aprili 2019

Swahili Gospel Movie | “Fichua Siri Kuhusu Biblia” Movie Clip: Tunaweza Kupata Uzima kwa Kuamini Katika Biblia?



Swahili Gospel Movie | “Fichua Siri Kuhusu Biblia” Movie Clip: Tunaweza Kupata Uzima kwa Kuamini Katika Biblia?


Mara kwa mara wachungaji na wazee huwafundisha watu kuwa hawawezi kuitwa waumini wakiondoka kwenye Biblia, na kwamba kwa kushikilia Biblia pekee ndiyo wanaweza kupata uzima na kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa hivyo, je, kweli hatuwezi kupata uzima tukiondoka kwenye Biblia?

Alhamisi, 24 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho


"Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho


Watu wengi wanaamini kwamba tayari dhambi zetu zimesamehewa na kupata wokovu kwa sababu tulitangaza imani yetu kwa Bwana, basi kwa nini Bwana anakuja kutuchukua moja kwa moja hadi kwenye ufalme wa mbinguni? Kwa nini bado Anahitaji kuwahukumu na kuwatakasa? Je, hukumu ya Mungu kwa wanadamu katika siku za mwisho ni utakaso na wokovu, au ni shutuma na uharibifu wa wanadamu? Kipande hiki kitakufunulia siri hizo.

    Yaliyopendekezwa: Filamu za Injili, Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumanne, 1 Mei 2018

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake

Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo.

New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje kuhubiri na akasikia habari fulani za kushtua: Bwana Yesu amerudi katika mwili, na Yeye ni Kristo wa siku za mwisho—Mwenyezi Mungu!

Ijumaa, 23 Machi 2018

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Mwenyezi Mungu alisema, Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko tayari kabisa? Utakaribisha kurudi kwa Yesu kwa namna gani? Nafikiri kuwa kila ndugu na dada wanaomfuata Yesu wangependa kumpa Yesu makaribisho mazuri.

Alhamisi, 1 Machi 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (3) - Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa?


Utambulisho
Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini kwamba Bwana atakaporudi, tutainuliwa hewani kukutana na Bwana. Lakini katika Biblia, inasemekana kwamba Yerusalemu mpya itashuka kutoka mbinguni. "maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu," "falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake."

Jumatano, 28 Februari 2018

Swahili Gospel Movie "Ivunje Laana" | Mungu ni Wokovu Wangu


    Fu Jinhua alikuwa mzee wa kanisa la nyumba nchini China. Kama Wakristo wengine wengi, alijitolea kwa Bwana kwa shauku kubwa, na alifanya kazi kwa bidii katika kazi yake kwa ajili Yake. Alikuwa hasa mwenye kujiamini, na alijiona kuwa mtu ambaye alimpenda Bwana kweli. Baada ya kumfuata Bwana kwa miaka mingi, aliamini kwa moyo wote kwamba Biblia ilikuwa imefunuliwa na Mungu, na kwamba maneno katika Biblia yote yalikuwa maneno ya Mungu.