Jumanne, 25 Juni 2019

Wimbo wa Dina | 20. Mungu Anautafuta Moyo Wako na Roho Yako

Wimbo wa Dina | 20. Mungu Anautafuta Moyo Wako na Roho Yako

Binadamu walioacha utoaji wa maisha kutoka kwa Mwenyezi
hawajui kwa nini wako hai, na ilhali wanaogopa kifo.
Hakuna msaada na hakuna usaidizi,
lakini binadamu bado wanasita kufunga macho yao,
wakistahimili yote, wanaendeleza kwa muda mrefu uwepo wenye kudharaulika katika dunia hii
katika miili isiyo na ufahamu wa roho.
Unaishi bila matumaini. Anaishi bila lengo.
Kuna tu Yule Mtakatifu katika hekaya,
kuna tu Yule Mtakatifu katika hekaya
ambaye atakuja kuokoa
wale ambao wanalia kwa mateso na kungoja kwa hamu kuja Kwake.
Kwa watu wasio na ufahamu, imani hii haiwezi kutambulika sasa.
Watu hata hivyo bado wanaitamani sana, bado wanaitamani sana.
Mwenyezi ana huruma kwa hawa wanaoumia sana.
Wakati huo huo, Amechoshwa na hawa wasio na ufahamu,
kwa sababu inabidi Angoje, inabidi Angoje kwa muda mrefu.
jibu kutoka kwa binadamu, kutoka kwa binadamu.
Anataka kutafuta roho wako na moyo wako.
Anataka kukuletea chakula na maji.
Anataka kukuamsha.
Ili usiwe na kiu tena, usiwe na njaa tena.
Na unapohisi kuchoka,
na wakati utakapoanza kuhisi ukiwa, ukiwa wa dunia hii,
usifadhaike, usilie.
Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakumbatia kuja kwako katika wakati wowote.
Anaangalia kando yako, Akingoja urudi.
Anangoja siku ambayo kumbukumbu yako itarudi ghafla,
kuwa na ufahamu wa kuwa ulitoka kwa Mungu, ukweli kuwa ulitoka kwa Mungu.
Ulipoteza njia wakati fulani kwa namna fulani na mahali fulani,
aa, ukipoteza ufahamu kando ya barabara,
na kisha bila kujua ukawa na “baba.”
Unatambua zaidi kuwa Mwenyezi amekuwa akiangalia hapo.
Amekuwa akingoja, Akingoja kurudi kwako muda wote, muda wote.
Anangoja kwa uchungu.
Amekuwa akingoja, Akingoja mwitikio bila jibu.
Anaangalia zaidi ya gharama
na ni kwa moyo, kwa moyo na roho wa binadamu.
Kuangalia huku labda kutadumu milele,
ama labda kuangalia huku kumefika mwisho.
Lakini lazima ujue,
moyo wako uko wapi, na iko wapi roho yako. Viko wapi?
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Chanzo: Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tazama Zaidi: Wimbo Mpya wa Dini "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Have You Enjoyed the Joy of Gaining the Work of the Holy Spirit? (Official Video)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni