Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kusogea-karibu-na-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kusogea-karibu-na-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 13 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

 Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu, mnapaswa kujifunza kumfanyia Mungu kazi ili hivi punde muweze kuupendeza moyo wa Mungu.

Jumamosi, 24 Novemba 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu. Huwaelewi watu, umeshindwa kuwaacha wazazi wako, umekosa utambuzi wa kiroho, huijui kazi ya Roho Mtakatifu, na huna wazo la jinsi ya kula na kunywa ya neno Langu[a].

Jumatatu, 11 Juni 2018

Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Roho Mtakatifu Hufanya Kazi kwa Njia yenye Maadili

Qin Shuting Jijini Linyi, Mkoani Shandong
Kwa muda fulani, ingawa sikuwa nimeacha kula na kunywa manen0 ya Mungu, sikuhisi mwanga kamwe. Nilikuwa nimeomba kwa Mungu kwa ajili ya hili lakini, baadaye, bado sikuwa nimepata nuru. Hivyo niliwaza, “Nimekula na kunywa kile ambacho nilipaswa na Mungu hanipi nuru.

Jumapili, 27 Mei 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu


Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.

Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.

Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.

Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Ijumaa, 18 Mei 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mkristo

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya

Chen Dan    Mkoa wa Hunan
Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana.

Alhamisi, 10 Mei 2018

Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mkristo

34. Kupata Ahueni kwa Njia ya Kumwamini Mungu

Zhuanbian     Mji wa Shanghai
Ingawa nilikuwa nikimfuata Mungu kwa miaka mingi, nilikuwa karibu sijafanya maendeleo yoyote na kuingia kwangu katika maisha, na hii ilinifanya nihisi kuwa na wasiwasi sana. Hasa wakati niliposikia rekodi ya mahubiri juu ya kuingia kwa maisha, na kusikia mtu aliyetumiwa na Roho Mtakatifu akizungumza na ndugu wa kiume na wa kike waliokuwepo na kusikiliza mahubiri, nilihisi nikiwa nimejawa na wasiwasi nikimsikia akisema jambo kama hili, "Nyinyi sasa mnamwamini Mungu na mmeonja uzuri wa ukimbizaji wa ukweli.

Ijumaa, 27 Aprili 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …”

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mkristo

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …”

Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan
Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia.

Ijumaa, 2 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu?