Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho Mbalimbali. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho Mbalimbali. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan



Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu. Hili linaonyesha shida za Wakristo nchini China na linaonyesha mfano halisi wa imani na ushupavu wa Wakristo kumtegemea Mungu ili kumshinda Shetani, na kushuhudia.

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)


Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika sura fiche na ofisa msaidizi, punda anayevaa ngozi ya simba, anayeendesha ufuatiliaji wa siri wa kuwatia mbaroni Wakristo wanaokusanyika kwenye nyumba ya Zhao Yuzhi.

Jumatano, 19 Septemba 2018

Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting


Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe.

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi)



Yu Shunfu ni muumini katika ulimwengu wa dini ambaye huenzi na huabudu wachungaji na wazee wa kanisa.Yeye hufikiri "wachungaji na wazee wa kanisa wote  walikuzwa na Mungu, na kutii wachungaji na wazee wa kanisa ni kutii Mungu, "kwa hivyo yeye humsikiza mchungaji wake katika yote anayofanya, hata katika mambo ya kukaribisha kuja kwake Bwana.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed


Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu?

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk)


Mazungumzo chekeshi haya, Kuwa Katika Hali Ngumu, yanasimulia hadithi ya Geng Xin , afisa wa Kikomunisti wa China ambaye ameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Inasimulia uzoefu wake wa kupoteza kazi yake, kukamatwa, na kuadhibiwa kwa ukatili na CCP kwa sababu ya imani yake, na mwishowe kwake kuwa shahidi kwa Mungu.

Jumamosi, 8 Septemba 2018

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa.

Ijumaa, 31 Agosti 2018

Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)


Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipotokea na kufanya kazi, Mafarisayo walikwamia sheria na kukashifu kazi Yake, wakisema kuwa kazi Yake ilienda zaidi ya Maandiko.Ili kulinda hali zao na maisha yao, walijitahidi kwa nguvu zao zote ili kuwazuia watu kutafuta kazi ya Bwana Yesu, na kujiunga na serikali ya Kirumi kumsulubisha msalabani.