Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana Yesu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 29 Oktoba 2018

"Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?



Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?

Watu wengi wanasadiki kwamba kwa kumsadiki Bwana Yesu dhambi zao zinasamehewa, kwamba wanaokolewa kupitia kwa imani, na zaidi kwamba pindi mtu anapookolewa anaokolewa milele, na pindi Bwana anaporudi ananyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni! Ilhali Bwana Yesu alisema, "Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21).

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya "Kuhusu Biblia"

Mwenyezi Mungu, Biblia, Bwana Yesu,

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya "Kuhusu Biblia"

1. Kwa miaka mingi, imani ya watu ya kitamaduni (hiyo ya Ukristo, moja ya dini kuu tatu za dunia) imekuwa ni kusoma Biblia; kujitenga na Biblia sio imani kwa Bwana, kujitenga na Biblia ni madhehebu maovu, na uzushi, na hata pale watu wanaposoma vitabu vingine, msingi wa vitabu hivi ni lazima uwe ni ufafanuzi wa Biblia. Ni kusema kwamba, kama unasema unamwamini Bwana, basi ni lazima usome Biblia, unapaswa kula na kunywa Biblia, na nje ya Biblia hupaswi kuabudu kitabu kingine ambacho hakihusishi Biblia.

"Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?


Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba Bwana Yesu tayari amerudi, tunawezaje kuwa na uhakika wa hili?

Sikiliza zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Video za Kikristo | “Kaa Mbali na Shughuli Zangu” Movie Clip: Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu


Utambulisho


Video za Kikristo | “Kaa Mbali na Shughuli Zangu” Movie Clip: Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu

Kwenye Biblia, Paulo alisema, “Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine” (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana.

Alhamisi, 20 Septemba 2018

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu


Wakati Bwana Yesu alipoonekana na kufanya kazi, wakuhani wa Kiyahudi, waandishi, na Mafarisayo walikashifu, wakashutumu, na kumkufuru vikali Bwana Yesu. Walimsulubisha Bwana Yesu msalabani, na wakawazuia watu kumkubali Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Mungu amekuwa  mwili tena. Amejionyesha na anaifanya kazi. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini wanaipinga na kuishutumu vikali tena kazi ya Mungu ya siku za mwisho, wakiwazuia waumini kwa vyovyote vile dhidi ya kumkubali Mwenyezi Mungu.

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!



Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu.

Jumatano, 19 Septemba 2018

Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?


Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki.

Jumapili, 16 Septemba 2018

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?


Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed


Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu?