Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa Mashariki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa Mashariki. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 19 Septemba 2018

Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?


Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God


Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi.  Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi.

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love


Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love (Kiitikio cha sauti ya Kike)


Muumba yuko miongoni mwa binadamu siku zote,
kwamba siku zote Anazungumza na binadamu na uumbaji mzima,
na kwamba Anatekeleza matendo mapya, kila siku. 
Hali Yake halisi na tabia vyote vimeelezewa katika mazungumzo Yake na binadamu;
fikira na mawazo Yake vyote vinafichuliwa kabisa kwenye matendo Yake haya;
Anaandamana na kufuatilia mwanadamu siku zote.
Anaongea kimyakimya kwa mwanadamu na uumbaji wote kwa maneno Yake ya kimyakimya:
Mimi niko juu ya ulimwengu, na Mimi nimo miongoni mwa uumbaji Wangu.
Ninawaangalia; Ninawasubiri; Niko kando yao….