Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ndugu-na-dada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ndugu-na-dada. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 2 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake

Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anatazamia kwa hamu kumtii Mungu na kumheshimu Yeye, wataweza kukamilishwa na Yeye. Mungu huwakamilisha watu kulingana na kazi zao tofauti. Mradi tu umefanya yote kwa nguvu yako na kuitii kazi ya Mungu utakuwa na uwezo wa kukamilishwa na Yeye. Kwa sasa hakuna hata mmoja wenu aliye mkamilifu.

Jumatatu, 6 Agosti 2018

Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu

         Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka

       Tong Xin    Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu. Wanakijiji walimlaumu kwa uongo baba yangu kwa kuchochea hilo na wakasema walitaka kupekua nyumba yetu na kuchukua ngawira mali yetu, kuchukua nguruwe wetu na hata kumpiga baba yangu. Kulikuwa na wakati pia ambapo mwanakijiji mwingine alichukua wavu wetu wa uvuvi na kuuweka kama wake mwenyewe.

Jumatatu, 9 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu


Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.
Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu
ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi   

    Katika kazi yao, wafanyakazi wanapaswa kuzingatia mambo mawili: Moja ni kufanya kazi kabisa kulingana na kanuni zilizowekwa masharti na mipangilio ya kazi. Wafanyakazi hawapaswi kukiuka kanuni hizi, wasifanye kazi kulingana na mawazo yao wenyewe, na siyo kulingana na mapenzi yao.