Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo unabii-wa-Biblia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo unabii-wa-Biblia. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 26 Desemba 2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia




"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia


Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40)."Kwani kama umeme, unavyomulika chini ya mbingu kutoka sehemu moja, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17: 24-25). Ni maana gani inayodokezwa na "Mwana wa Adamu atakuja" na "ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa katika siku yake" kama ilivyoelezwa katika maandiko haya? Ikiwa Bwana anarudi kuja na mawingu, "kupata mateso mengi" na "kukataliwa na kizazi hiki," hii inaelewekaje?

Yaliyopendekezwa: Filamu za Injili, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Jumamosi, 15 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)



2018 Gospel Music "Usimamizi wa Mungu Daima Ukiendelea Mbele" (Swahili Subtitles)


Mababu wa wanadamu, Adamu na Hawa, walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza usimamizi Wake wa wokovu wa wanadamu. Tangu wakati huo, Amefanya kazi bila ya kukoma: Mungu alitangaza sheria kuwaongoza wanadamu, na Yeye binafsi alikuja miongoni mwa wanadamu kusulubiwa na kuwakomboa wanadamu, na katika siku za mwisho, Mungu anaendelea na kazi Yake, akitimiza unabii wa Biblia: "Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali" (Yohana 14:2). "Naja upesi; na Nina thawabu Yangu, kumpa kila mwanadamu kulingana na vile matendo yake yatakuwa" (Ufunuo 22:12).

Sikiliza zaidi: video za nyimbo za injili, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 7 Machi 2018

"Wakati Wa Mabadiliko"(1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje?



Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho: kwa maana tarumbeta italia, na wafu watafufuliwa bila uovu, na tutabadilishwa" (1Kor 15:52). Wanaamini kwamba ingawa bado tunatenda dhambi siku zote bila kujinasua kutoka kwa pingu za asili ya dhambi, Bwana atazibadili taswira zetu mara moja na kutuleta katika ufalme wa mbinguni Atakapokuja. 

Jumamosi, 3 Machi 2018

“Ivunje Laana” – Tunawezaje Kukaribisha Kurudi kwa Bwana? | Clip 1/6


    Miezi minne ya damu tayari imeonekana. Hii ina maana kwamba majanga makubwa yatakuja hivi karibuni, kama ilivyotabiriwa katika kitabu cha Yoeli, “Na pia juu ya watumishi wa kiume na wa kike nitamwaga roho wangu katika siku zile. Na nitaonyesha maajabu mbinguni na duniani, damu, na moto, na miimo ya moshi. Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja kwa siku kuu na ya kutisha ya Yehova” (Yoeli 2:29-31). 

Ijumaa, 2 Machi 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (5) - Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima


Utambulisho
Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu kwa kuonyesha ukweli. Utangulizi wa hukumu kabla ya ufalme mkuu mweupe kuanza. Tunapitia hukumu ya Mungu na kuadibiwa na Mungu vipi? Je, ni aina gani ya utakaso na mabadiliko yanaweza kupatikana baada ya kupitia hukumu na adabu ya Mungu? Ni maarifa gani ya kweli ya Mungu yanaweza kuarifiwa?

Alhamisi, 1 Machi 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (1) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (1)


Utambulisho
Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa kujitolea, kutumia rasilmali na kufanya kazi kwa ajili ya Bwana, tutayaridhisha mapenzi ya Mungu. Na tutaletwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Hata hivyo, je, tumewahi kufikiria iwapo jitihada kama hizi kweli zitastahili sifa za Bwana na ruhusa ya kuingia katika ufalme wa mbinguni?