Alhamisi, 7 Desemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Dibaji


Kanisa la Mwenyezi Mungu|Dibaji

Mwenyezi Mungu alisema, Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake.

Jumatano, 6 Desemba 2017

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)


Mwenyezi Mungu alisema,Matokeo ya kutimizwa kutoka kwa kazi ya kushinda kimsingi ni kwa ajili ya mwili wa mwanadamu kuacha kuasi, yaani, ili fikira za mwanadamu zipate ufahamu mpya wa Mungu, moyo wake umtii Mungu kabisa, na aamue kuwa wa Mungu. Jinsi ambavyo mwenendo wa mtu ama mwili wake unavyobadilika haiamui ikiwa ameshindwa.

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
hukumu,ukamilifu


Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Mwenyezi Mungu alisema,Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi? Hamna hata hali ya kawaida ya ubinadamu—hilo si la kusikitisha?

Jumatatu, 4 Desemba 2017

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (1)

 Mwenyezi Mungu alisema,Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa.

Kuhusu Biblia (4)

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
imani ya kidini

Kuhusu Biblia (4)

Mwenyezi Mungu alisema,Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.

Jumapili, 3 Desemba 2017

Kuhusu Biblia (3)

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kazi ya Mungu,Biblia

Kuhusu Biblia (3)

Mwenyezi Mungu alisema,Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote.

Kuhusu Biblia (2)

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Biblia,imani

Kuhusu Biblia (2)

Mwenyezi Mungu alisema,Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, wajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika “Agano Jipya” linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao.

Jumamosi, 2 Desemba 2017

Kuhusu Biblia (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Injili
imani ya kidini,imani

Kuhusu Biblia (1)

Mwenyezi Mungu alisema,Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza juu ya kazi ya Mungu leo. Ili kupanua kazi Yake, ni muhimu zaidi kwamba unakuwa na uwezo wa kubadilisha dhana za watu za dini ya kale na njia za kale za imani, na kuwaacha wakiwa wameshawishika kabisa—na kufikia katika hoja hiyo Biblia inahusishwa.

Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja


      Mwenyezi Mungu anasema, "Mwanzoni, Mungu alikuwa anapumzika. Hakukuwa na binadamu ama kitu chochote kingine duniani wakati huo, na Mungu hakuwa amefanya kazi yoyote ile. Mungu alianza tu kazi Yake ya usimamizi baada ya binadamu kuwepo na baada ya binadamu kupotoshwa. Kutoka hapa kuendelea, Mungu hakupumzika tena lakini badala yake Alianza kufanya kazi miongoni mwa binadamu. 

Alhamisi, 30 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kanisa
watu wa Mungu,ufalme


Kanisa la Mwenyezi Mungu|Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia.

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

 Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
dutu ya Mungu,Kristo

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Mwenyezi Mungu alisema,Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote.

Jumatano, 29 Novemba 2017

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu

 Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
kupata mwili,dutu ya Mungu

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi Yake, Alikuwa na ubinadamu wa kawaida.