Jumatatu, 18 Desemba 2017
Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Jumapili, 17 Desemba 2017
Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"
Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"
Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”
Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri”
Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri”
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili.
Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote,
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Jumamosi, 16 Desemba 2017
Nyimbo za Uzoefu wa Maisha“Kama Nisingeokolewa na Mungu”
- Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
- Kama Nisingeokolewa na Mungu
- I
- Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
- Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
- Kama Nisingeokolewa na Mungu
- I
- Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
Ijumaa, 15 Desemba 2017
Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Nitampenda Mungu Milele”
- Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
- Nitampenda Mungu Milele
- I
- Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni, na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini Hujawahi kuniacha. Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi. Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.
Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani”
- Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
- Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
- I
- Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu. Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu. Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Nyimbo za Neno la Mungu “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki
- I
- Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.
Nyimbo za Neno la Mungu "Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu"
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu
- I
- Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.
Jumatano, 13 Desemba 2017
Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki
Nitampenda Mungu Milele
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.
Nitampenda Mungu Milele
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)