Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-na-Ibada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sifa-na-Ibada. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 15 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,kumpenda Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu  | Siwezi Kusema Yote Yaliyo Moyoni Mwangu

I

Leo nimekutana na Wewe, matumaini yangu yote yametimia.
Nimefurahia utajiri wote katika kumbatio Lako la upendo na ukunjufu.
Moyo Wako hakika ni mzuri sana, upendo Wako unanivutia.
Kile Ulicho nacho na kile Ulicho, ni vya thamani sana kwangu.
Siwezi kuelezea, hakuna maneno:
Jinsi gani anavyopendeza Mwenyezi Mungu!

Jumapili, 3 Juni 2018

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

I

Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.

Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.

Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?

Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?

Wewe ndiye Unayenipa upendo.

Wewe ndiye Unayenijali.

Jumatano, 9 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Watu! Furahini!

Mwenyezi Mungu alisema,  Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa.

Alhamisi, 14 Desemba 2017

Nyimbo za Neno la Mungu “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,


  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki
  • I
  •     Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.