ndugu na dada |
Jumatano, 3 Januari 2018
Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu
Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu |
Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu
Watu wanaweza kupangwa kwa makundi, ambayo hubainishwa kwa roho zao. Watu wengine wana roho za binadamu, na wao huchaguliwa kwa njia iliyoamuliwa kabla. Ndani ya roho ya binadamu kuna sehemu iliyoamuliwa kabla. Watu wengine hawana roho; wao ni pepo ambao wamepenyeza. Hawajaamuliwa kabla na kuchaguliwa na Mungu.
Jumanne, 2 Januari 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa
Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa |
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa
Kukufuru na kashfa dhidi ya Mungu ni dhambi ambayo haitasamehewa kwa enzi hii na enzi ijayo na wale wanaofanya dhambi hii hawatazaliwa upya kamwe. Hili linamaanisha kwamba tabia ya Mungu haiwezi kuvumilia kosa la wanadamu.
Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu
Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu |
Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu
Kitu hiki kinachoitwa mwanadamu kina uwezo wa kumsaliti Mungu, kwa hivyo unaweza kujua nini kutoka kwa hili? Baadhi ya watu huuliza: "Mungu alimuumba mwanadamu kwa hivyo Mungu hawezi kumzuia mwanadamu kumsaliti Yeye? Ni kwa nini mwanadamu bado ana uwezo wa kumsaliti Mungu? Je, Mungu si mwenyezi?"Hili ni tatizo, sio?
Jumatatu, 1 Januari 2018
Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro
Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi hawawezi kuainisha ni watu gani wana ukweli, watu gani hawana ukweli na watu gani husema mambo yaliyo na ukweli. Unapoulizwa kueleza ni nini maana ya "ukweli," huwezi kueleza kwa wazi. Lakini mara tu mtu anaposema kitu, unasema: “Mtazamo wake ni wa kweli. Maneno ayasemayo yanaonyesha ufahamu wa utendaji uliopatikana kupitia kwa uzoefu.”
Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi
Kazi ya Mungu |
Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi
Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi.
Jumapili, 31 Desemba 2017
Sura ya 28. Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu
Sura ya 28. Bila Ukweli Ni Rahisi Kumkosea Mungu
Kutoa kwenu "muhtasari kuhusu ukweli" hakufanywi ili kuwawezesha watu kupata maisha au kupata mabadiliko katika tabia zao kutoka kwa ukweli. Badala yake, kunafanywa ili watu waweze kuwa weledi wa maarifa na mafundisho fulani kutoka kwa ukweli. Wao huonekana kana kwamba wanaelewa lengo lililokusudiwa katika kazi ya Mungu, wakati kwa kweli wamekuwa weledi wa baadhi ya maneno ya mafundisho tu.
Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song
Mungu ni Mungu | "Zingatia Majaliwa ya Binadamu" | Swahili Christian Song
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
Jumamosi, 30 Desemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Sita
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la
Sita
Kwa masuala ya ndani ya roho, unapaswa kuwa makini kwa utaratibu; kwa maneno Yangu, unapaswa kuwa msikivu kwa makini. Unapaswa kulenga hali ambayo unaona Roho Yangu na nafsi Yangu ya mwili, maneno Yangu na nafsi Yangu ya mwili, kama kitu kimoja kizima kisichogawanyika, na kufanya kuwa binadamu wote wataweza kuniridhisha mbele Yangu. Nimetembea ulimwenguni kwa miguu Yangu, Nikinyoosha macho Yangu juu ya anga yake nzima, na Nimetembea miongoni mwa wanadamu wote, Nikionja ladha tamu, ya asidi, chungu, na kali za uzoefu wa binadamu, lakini mwanadamu hakuwahi kweli kunitambua, wala hakuniona Nikitembea ng’ambo.
Ijumaa, 29 Desemba 2017
Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu”
Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu”
Mwenyezi Mungu alisema, Ukilibadilisha au kulikanganya neno la Mungu Mwenyewe, basi hiyo ni sawa na uasi wa Mungu, kukufuru dhidi Yake na usaliti. Hii ni sawa tu na malaika mkuu kusema:"Mungu, Unaweza kuumba mbingu na ardhi na vitu vyote na Unaweza kufanya miujiza, lakini pia mimi ninaweza. Unapanda juu kwenye kiti cha enzi, na hivyo hivyo mimi pia napanda.
Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho
kumjua Mungu |
Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 23. Jinsi ya kuelewa Umoja wa Mwili na Roho
Mwenyezi Mungu alisema, Baadhi ya watu huuliza, “Mungu huangalia kwa makini moyo wa binadamu, na mwili na Roho wa Mungu ni moja. Mungu hujua kila kitu ambacho watu husema, kwa hivyo Mungu anajua kwamba sasa ninamwamini?” Kujibu hili swali huhusisha jinsi ya kuelewa Mungu mwenye mwili na uhusiano kati ya Roho Wake na mwili.
Alhamisi, 28 Desemba 2017
Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu
imani katika Mungu |
Sura ya 21. Ukimbizaji Ukweli Tu Ndiyo Imani ya Kweli katika Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Kama huna uzoefu wa kitu, basi wewe hakika hutajua jinsi ya kukisimamia na utakisimamia vibaya. Hata kama unakisimamia, na ufikiri: “Mimi nimeeleza kiasi haya yote na nikasema mengi kulihusu. Wao pia wamelisikiza mara nyingi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)