Jumanne, 27 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (7)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (7)

Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo imara zaidi, ya kweli zaidi. Hii ni kwa sababu hii ndiyo njia ambayo Mungu alitufungulia tangu mwanzo wa wakati na imepitishwa kwa kizazi chetu baada ya makumi ya maelfu ya miaka.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia... (6)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia... (6)

Ni kwa sababu ya kazi ya Mungu ndio tumeletwa katika siku hii. Kwa hiyo, sisi sote ni wasaliaji katika mpango wa usimamizi wa Mungu, na kwamba tunaweza kubakizwa mpaka siku hii ni kutiwa moyo kwa hali ya juu kutoka kwa Mungu.

Jumatatu, 26 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (4)

Kwamba watu wanaweza kugundua kupendeza kwa Mungu, kutafuta njia ya kumpenda Mungu katika enzi hii, na kwamba wako radhi kukubali mafunzo ya ufalme wa leo—hii yote ni neema ya Mungu na hata zaidi, ni Yeye ndiye anawainua wanadamu. Kila Nifikiriapo juu ya hili Mimi huhisi kwa uthabiti kupendeza kwa Mungu. Ni kweli kwamba Mungu anatupenda. La sivyo, nani angeweza kutambua kupendeza Kwake?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (5)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (5)

Ilikuwa kwamba hakuna aliyejua Roho Mtakatifu, na hasa hawakujua njia ya Roho Mtakatifu ilikuwa gani. Ndio maana watu kila mara walifanya upumbavu mbele ya Mungu. Inaweza kusemwa kwamba karibu watu wote wanaoamini katika Mungu hawamjui Roho, lakini tu wana aina ya imani iliyochanganyikiwa.

Jumapili, 25 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Katika maisha yake, hakuna mtu anayejua ni aina gani ya vipingamizi ataenda kukutana navyo, wala hajui ni aina gani ya kusafishwa ambayo atapata mara kwa mara. Kwa wengine ni katika kazi yao, kwa wengine ni katika matazamio yao ya siku za baadaye, kwa wengine ni katika familia yao ya asili, na kwa wengine ni katika ndoa yao. Lakini kilicho tofauti nayo ni kwamba leo sisi, kundi hili la watu, tunateseka kwa ajili ya neno la Mungu. Yaani, kama mtu anayemtumikia Mungu, amekutana na vipingamizi katika njia ya kuamini katika Yeye, na hii ni njia ambayo waumini wote hufuata na ni njia iliyo chini ya miguu yetu yote. 

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Katika maisha Yangu, Niko radhi kila mara kujitolea Mwenyewe kwa Mungu kabisa, mwili na fikra. Kwa njia hii, hakuna lawama kwa dhamiri Yangu na Naweza kupata kiasi kidogo cha amani. Mtu anayeandama uzima ni lazima kwanza aukabidhi moyo wake wote kwa Mungu kabisa. Hili ni sharti la mwanzo. Ningependa ndugu na dada Zangu wamwombe Mungu pamoja na Mimi: “Ee Mungu!

Jumamosi, 24 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Njia… (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Labda ndugu na dada zetu wana muhtasari kidogo wa utaratibu, hatua, na mbinu za kazi ya Mungu katika China bara, lakini Mimi huhisi kila mara kwamba ni heri kuwa na kumbukumbu au muhtasari kidogo wa ndugu na dada zetu. Ninatumia tu nafasi hii kusema machache ya kile kilicho moyoni Mwangu; Sizungumzi juu ya chochote nje ya kazi hii.

Ijumaa, 23 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tisa

Hebu twende nje ya maneno ya Mungu na tuzungumze kidogo juu ya masuala yanayohusu maisha yetu, ili maisha yetu yasitawi, na tufikie matumaini ya Mungu kwetu. Hasa, pamoja na ujaji wa leo—wakati wa kila mmoja kuainishwa kulingana na aina, na wa kuadibu—kuna haja kubwa ya kuyalenga mambo muhimu na kumakinikia "maslahi ya pamoja."

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
Inasemekana kwamba Mungu ameanza sasa kuwaadibu watu, lakini hakuna yeyote anayeweza kusema kwa hakika, hakuna yeyote anayeweza kutoa jibu dhahiri iwapo kusudi la asili la kuadibu huku limewafika wanadamu.

Alhamisi, 22 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Matamko ya Arubaini na Nne na Arubaini na Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada


TanguMungu alipomwambia mwanadamu kuhusu "upendo wa Mungu”—somo la maana zaidi kati ya yote—Alilenga kuzungumza juu ya mada hii katika "matamko ya Roho mara saba," kusababisha watu wote kujaribu kujua utupu wa maisha ya mwanadamu, na hivyo kuchimbua upendo wa kweli ulio ndani yao. Na wale wanaoishi katika hatua ya sasa wanampenda Mungu kiasi gani? Je, mwajua? Hakuna mipaka kwa somo la "kumpenda Mungu." Na je, kuhusu ufahamu wa maisha ya mwanadamu ndani ya watu wote? Mtazamo wao kwa kumpenda Mungu ni upi? 

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
Kufuatana na sifa za asili za wanadamu, yaani, uso halisi wa wanadamu, kuweza kuendelea hadi sasa hakujakuwa jambo rahisi kweli, na ni kwa njia hii tu ndio nguvu kuu ya Mungu imekuwa dhahiri. Kutegemea kiini cha mwili pamoja na upotovu wa joka kuu jekundu hadi sasa, isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, mwanadamu angewezaje kusimama leo?

Jumatano, 21 Februari 2018

Latest Swahili Gospel Movie "Wakati wa Mabadiliko"




Utambulisho

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, akihisi kwamba kuamini tu katika Bwana kunatosha kuitwa mwenye haki na kuokolewa kwa neema. Ingawa mwanadamu bado hutenda dhambi bila kusita, dhambi zake zimesamehewa na Bwana, taswira yake itabadilishwa mara moja na kuwa takatifu na atainuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakapowasili.