Jumamosi, 30 Novemba 2019

Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?


Aya za Biblia za Kurejelea:
“Mimi nawabatiza na maji ili mtubu. Lakini yule ajaye baada ya mimi ni mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye sistahili kuvichukua viatu vyake. Atawabatiza na Roho Mtakatifu, na moto” (Mathayo 3:11).
Maneno Husika ya Mungu:
Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe. Basi iwe ubinadamu Wake au uungu, yote hujiwasilisha kwa mapenzi ya Baba wa mbinguni. Kiini cha Kristo ni Roho, yaani, uungu. Kwa hivyo, chemichemi Yake ni ile ya Mungu Mwenyewe; Dutu hii haitapinga kazi Yake Mwenyewe, na Yeye hangeweza kufanya kitu chochote kinachoharibu kazi Yake Mwenyewe, wala milele Yeye kutamka maneno yoyote ambayo yanakwenda kinyume na mapenzi Yake Mwenyewe. …

Jumatano, 27 Novemba 2019

Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Kwa kuwa Baba hamhukumu mwanadamu yeyote, ila amekabidhi hukumu yote kwa Mwana” (Yohana 5:22).
Na yeye amempa mamlaka ya kuhukumu pia, kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu” (Yohana 5:27).
Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya hukumu ni kazi ya Mungu Mwenyewe, kwa hivyo lazima ifanywe na Mungu Mwenyewe kwa kawaida; haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kwa sababu hukumu ni kumshinda mwanadamu kupitia ukweli, hakuna shaka kuwa Mungu bado Anaonekana kama kiumbe aliyepata mwili kufanya kazi hii miongoni mwa wanadamu. Hiyo ni kumaanisha, wakati wa siku za mwisho, Kristo atautumia ukweli kuwafunza wanadamu duniani kote na kufanya ukweli wote ujulikane kwao. Hii ni kazi ya hukumu ya Mungu.

Jumapili, 24 Novemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu | Wimbo wa Kuabudu 

   

    Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

Alhamisi, 21 Novemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 1: Sherehe ya Ufalme | Wimbo wa Kuabudu



Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 1: Sherehe ya Ufalme | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

Jumatatu, 18 Novemba 2019

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Ushuhuda wa Mkristo
                                                                         Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu. Tumeelewa pia ukweli wa fumbo la mpango wa usimamizi wa miaka elfu sita, fumbo la kupata mwili, hatua tatu za Mungu za kazi katika kuwaokoa wanadamu, umuhimu wa kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho, na tondoti zingine. Mke wangu na mimi tulifikiri kwamba kumpata Mungu aliyekuwa tayari amekuja kuwaokoa wanadamu wakati wa uhai wetu ilikuwa ni baraka kubwa. Tulikubali kwa furaha kazi ya Mungu katika siku za mwisho, na tukaishi maisha ya kanisa. Chini ya uongozi wa neno la Mungu, sisi wawili tulifuatilia ukweli na kujibadilisha wenyewe, na wakati wowote jambo lilipotokea na tukaanza kubishana, hatungepata tu kosa kwa kila mmoja wetu kama tulivyozoea kufanya, ila tungeakisi juu yetu na kujaribu kujijua wenyewe. Baada ya hayo, tulitenda kwa namna ambayo ilinyima mwili kulingana na mahitaji ya Mungu, na uhusiano wetu wa ndoa ukawa bora na mzuri, na mioyo yetu ikawa na amani na thabiti. Tulihisi kwamba kumwamini Mungu ni kuzuri kweli. Hata hivyo, huku tukiwa na shangwe na kufurahia kumfuata Mungu, tulipokuwa tukifurahia maisha yenye heri, tulikabiliwa na mashambulizi makali kutoka kwa familia zetu …. Wakati tu nilipokuwa nikipoteza njia yangu, ilikuwa ni neno la Mungu lililoniongoza kubaini mpango wa Shetani, na kupenya ukungu na kuingia kwenye njia angavu na sahihi kwa uzima.

Ijumaa, 15 Novemba 2019

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)

I

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.

Jumanne, 12 Novemba 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Pili)

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Pili)

Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Tufuate: Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 9 Novemba 2019

Sauti ya Mungu | “Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu” (Dondoo 1)


Sauti ya Mungu | “Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu” (Dondoo 1)


“Kumcha Mungu” hakumaanishi woga na hofu isiyotajika, wala kukwepa, wala kuweka umbali, wala si kuabudu kama mungu ama ushirikina. Ila, ni kutazama na kupendezwa, sifa, imani, kuelewa, kujali, kutii, kuweka wakfu, upendo, na pia ibada isiyo na vikwazo au malalamishi, malipo na kujisalimisha. Bila ya ufahamu halisi wa Mungu, binadamu hawatakuwa na kupendezwa halisi, imani halisi, kuelewa halisi, kujali halisi ama utiifu, ila tu hofu na kukosa utulivu, shaka pekee, kutoelewa, kukwepa, na kuepuka; bila maarifa halisi ya Mungu, binadamu hawatakuwa na utakatifu na malipo halisi; bila ufahamu halisi wa Mungu, binadamu hawatakuwa na ibada halisi na kujisalimisha, uabudu kama mungu upofu tu na ushirikina; bila maarifa halisi juu ya Mungu, binadamu hawawezi kutenda kulingana na njia ya Mungu, ama kumcha Mungu, ama kuepuka maovu. Badala yake, kila tendo na tabia ambayo mwanadamu anashiriki litajaa uasi na kutotii, na kumbukumbu zinazokashifu na hukumu ya usengenyaji kumhusu Yeye, na mienendo miovu inayokwenda kinyume na ukweli na maana ya kweli ya maneno ya Mungu.

Jumatano, 6 Novemba 2019

Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)



Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)



Yesu alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu,
Akatamatisha Enzi ya Sheria,
Alileta Enzi ya Neema.
Mungu mara nyingine akakuwa mwili katika siku za mwisho.
Akitamatisha Enzi ya Neema,
Alileta Enzi ya Ufalme.
Wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili
wataongozwa katika Enzi ya Ufalme na kupokea uongozi Wake.
Baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake,
Mungu alirudi mwilini kumwongoza.
Atamwongoza mwanadamu kuingia katika enzi mpya.
Ameanza kazi ya hukumu
ili kumleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi.
Wote wanaotii utawala Wake
watavuna ukweli wa juu na baraka kuu.
Ee wataishi katika mwangaza!
Na kupata njia, ukweli, na uzima!

Jumapili, 3 Novemba 2019

Maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Ambaye Amemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?" (Dondoo 1)


Maneno ya Roho Mtakatifu | "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Ambaye Amemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?" (Dondoo 1)

Kazi ya Mungu inaendelea kusonga mbele, na ingawa madhumuni ya kazi Yake bado hayajabadilika, njia anazozitumia kufanya kazi zinabadilika mara kwa mara, na hivyo pia wale wanaomfuata Mungu. Zaidi iwapo kazi ya Mungu, zaidi mwanadamu anakuja kumjua kwa kina Mungu, na tabia ya mwanadamu inabadilika ipasavyo pamoja na kazi Yake. Hata hivyo, ni kwa sababu kazi ya Mungu milele inabadilika ndio wale wasiojua kazi ya Roho Mtakatifu na wale wanadamu wajinga wasiojua ukweli wanakuwa wapinzani wa Mungu. Kazi ya Mungu kamwe haifuati dhana za mwanadamu, kwani kazi Yake daima ni mpya na siyo nzee. Kamwe Hairudii kazi ya zamani lakini badala Anasonga mbele na kazi ambayo haijafanywa hapo awali. Kwa sababu Mungu harudii kazi Yake na mwanadamu daima anahukumu kazi ya Mungu leo kulingana na kazi Yake ya zamani, ni vigumu sana kwa Mungu kutekeleza kila hatua ya kazi ya enzi mpya. Mwanadamu ana vizuizi vingi sana! Kufikiria kwa mwanadamu ni kwa akili finyu! Hakuna mwanadamu anayeijua kazi ya Mungu, lakini bado wote wanafafanua kazi hiyo. Mbali na Mungu, mwanadamu anapoteza uhai, ukweli na baraka za Mungu, lakini bado mwanadamu hajapokea uhai wala ukweli, na hata baraka kubwa Mungu anazowapa wanadamu. Wanadamu wote wanataka kumpata Mungu lakini bado hawawezi kuvumilia mabadiliko yoyote kwa kazi ya Mungu. Wale wasiokubali kazi mpya ya Mungu wanaamini kwamba kazi ya Mungu haibadiliki, na kwamba kazi ya Mungu milele inabakia kusimama. Kwa imani yao, yote yanayohitajika kupata wokovu wa milele kutoka kwa Mungu ni kuhifadhi sheria, na iwapo watatubu na kukiri dhambi zao, dhamira ya Mungu milele itaridhika. Wana maoni kwamba Mungu anaweza tu kuwa Mungu chini ya sheria na Mungu aliyesulubiwa kwa sababu ya mwanadamu; pia ni maoni yao kwamba Mungu hastahili na Hawezi kuzidi kiwango cha Biblia. Ni hasa maoni haya yaliyowafunga imara kwa sheria ya zamani na kuendelea kuwafumba kwa kanuni ngumu. Hata zaidi wanaamini kwamba kazi yoyote ile mpya ya Mungu, ni lazima ithibitishwe na unabii, na kwamba katika kila hatua ya hiyo kazi, wote wanaomfuata na roho ya kweli lazima pia waonyeshwe ufunuo, vinginevyo kazi hiyo haiwezi kuwa ya Mungu. Tayari si kazi rahisi kwa mwanadamu kuja kumjua Mungu. Ikichukuliwa pamoja na moyo wa ujinga wa mwanadamu na asili yake ya kuasi ya kujiona muhimu na kujivunia, basi ni vigumu zaidi kwa mwanadamu kukubali kazi mpya ya Mungu. Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu; badala yake, mwanadamu anachukua mtazamo wa dharau, kusubiri ufunuo na mwongozo wa Mungu. Hii siyo tabia ya mwanadamu anayeasi dhidi ya na kumpinga Mungu? Ni jinsi gani wanadamu kama hawa wanaweza kupata idhini ya Mungu?