Kuhusiana na ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni, Bwana Yesu alisema, "ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21). Kwa hivyo ni mtu aina gani hasa anayefanya mapenzi ya Baba wa mbinguni? Watu wengi husadiki kwamba wale wanaofuata mfano wa Paulo na kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana ndio wanaofanya mapenzi ya Baba wa mbinguni.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Dondoo Maarufu za Filamu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Dondoo Maarufu za Filamu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 5 Novemba 2018
Jumamosi, 3 Novemba 2018
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote"
Milki ya kale ya Kirumi na Milki ya zamani ya Uingereza zilikuwa na mafanikio na nguvu kwa haraka sana na kisha kufifia kuelekea kudhoofika na uharibifu. Sasa, Marekani limekuwa taifa kubwa lisilobishaniwa la ulimwengu na pia lina jukumu lisilofidika la kudumisha na kuimarisha hali ya ulimwengu. Ni mafumbo ya aina gani hasa yaliyofichika kuhusiana na kuinuka na kuanguka kwa mataifa? Ni nani aliye na mamlaka juu ya majaliwa ya kila nchi na watu wote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu", itakufichulia majibu haya.
Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Alhamisi, 1 Novemba 2018
Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Unamfahamu Paulo kwa Kweli?
Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Unamfahamu Paulo kwa Kweli?
Kwa miaka elfu mbili, Paulo amekuwa kielelezo cha kufuatwa kwa wale wote wanaomsadiki Bwana. Lakini tunamfahamu Paulo kwa kweli? Tunajua kwa kweli ukweli wa Paulo uliofichwa wa yeye kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana? Asili ya Paulo ni ipi, na kiini chake ni kipi? Video hii fupi itatusaidia kumfahamu Paulo halisi!
Tufuate: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumatatu, 29 Oktoba 2018
"Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?
Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?
Watu wengi wanasadiki kwamba kwa kumsadiki Bwana Yesu dhambi zao zinasamehewa, kwamba wanaokolewa kupitia kwa imani, na zaidi kwamba pindi mtu anapookolewa anaokolewa milele, na pindi Bwana anaporudi ananyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni! Ilhali Bwana Yesu alisema, "Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21).
Jumamosi, 27 Oktoba 2018
Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” Movie Clip: Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni?
Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” Movie Clip: Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni?
Hasa ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Baadhi ya watu hufikiria dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, kwamba pindi tunapookolewa basi tunaokolewa milele, na kwamba mtu aina hii anaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Kisha kuna wale wanaosadiki kwamba, ingawa dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, bado tunafanya dhambi mara kwa mara na hatujafikia utakatifu, na kwa sababu Biblia inasema kwamba wale ambao si watakatifu hawawezi kumwona Bwana, basi ni vipi tunaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni wakati hatujafikia utakatifu? Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!
Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)