Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho-Mutakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho-Mutakatifu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 31 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (1)



Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (1)

Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida. Njia za mtu wa kisasa kuhusiana na chakula na mavazi, kwa mfano.

Jumanne, 18 Desemba 2018

Neno la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tatu

Neno la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tatu


Ufalme Wangu unawahitaji wale ambao ni waaminifu, wasio wanafiki, na wasio wadanganyifu. Je, si watu wenye moyo safi na waaminifu duniani hawapendwi na watu? Mimi ni kinyume kabisa cha jinsi ilivyo. Inakubalika kwa watu waaminifu kuja Kwangu; Nafurahia mtu wa aina hii, pia Ninamhitaji mtu wa aina hii. Hii ni haki Yangu hasa. Watu wengine ni wajinga; hawawezi kuhisi kazi ya Roho Mtakatifu na hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu. Hawawezi kuona familia yao na hali zinazowazingira kwa uwazi, wanafanya vitu bila kufikiri na kupoteza fursa nyingi za neema.

Alhamisi, 22 Novemba 2018

Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu


Ikiwa watu wanaweza kweli kuielewa kikamilifu njia sahihi ya maisha ya binadamu na vilevile kusudi la usimamizi wa Mungu wa binadamu, wasingeshikilia mategemeo yao ya baadaye na majaliwa yao binafsi kama hazina mioyoni mwao. Wasingetamani tena kuwatumikia wazazi wao ambao ni wabaya zaidi kuliko nguruwe na mbwa. Je, mategemeo ya baadaye na majaliwa ya mwanadamu si kabisa kile kinachoitwa nyakati za sasa "wazazi" wa Petro?