Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 1 Desemba 2018

Wimbo Mpya wa Dini "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Have You Enjoyed the Joy of Gaining the Work of the Holy Spirit? (Official Video)



Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufungukia Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako, utaelewa kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kilicho ndani Yake kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, kidogo kidogo, siku baada ya siku,
unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, moyo wako utakuwa wazi Kwake.

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tatu

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tatu

Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

Jumatano, 5 Septemba 2018

Tamko la Mia moja na Kumi na Nne

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, furaha

Tamko la Mia moja na Kumi na Nne

Niliumba ulimwengu dunia; Nilitengeneza milima, mito, na vitu vyote; Niliunda miisho ya mifumo ya sayari; Niliwaongoza wana Wangu na watu Wangu; Niliamuru vitu na mambo yote. Sasa, Nitawaongoza wazaliwa Wangu wa kwanza warudi kwenye Mlima Wangu Sayuni, kurudi mahali ambapo Naishi, ambayo itakuwa hatua ya mwisho katika kazi Yangu. Yote ambayo Nimeyatenda (kila kitu kilichofanyika kutoka uumbaji mpaka sasa) yalikuwa kwa sababu ya hatua ya leo ya kazi Yangu, na zaidi ni kwa sababu ya utawala wa kesho, ufalme wa kesho, na kwa ajili ya Mimi na wazaliwa Wangu wa kwanza kuwa na furaha ya milele. 

Ijumaa, 31 Agosti 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu Tamko la Sitini

Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, maisha

Tamko la Sitini

Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami.

Jumatatu, 20 Agosti 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Moja

Umeme wa Mashariki, Mungu, hukumu
Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Moja
Machoni pa Mungu, watu ni kama wanyama katika ulimwengu wa wanyama. Wao hupigana, huchinjana, na huwa na ushirikiano wa pekee mmoja kwa mwingine. Machoni pa Mungu, wao pia ni kama sokwe, wakipangiana hila bila kujali umri au jinsia. Kwa hivyo, yote ambayo wanadamu wote hufanya na kuonyesha hayajawahi kuupendeza moyo wa Mungu. Wakati ambao Mungu hufunika uso Wake ndio hasa wakati ambao watu duniani kote wanajaribiwa. Watu wote wanapiga kite kwa uchungu, wote wanaishi chini ya tishio la msiba, na hakuna hata mmoja wao aliyewahi kuepuka kutoka kwa hukumu ya Mungu.

Alhamisi, 16 Agosti 2018

Tamko la Arubaini na Saba

Mwenyezi Mungu, maombi, siku za mwisho

Tamko la Arubaini na Saba

Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake. Sijawahi kuwapa wanadamu sababu ya kuaibika, lakini mwanadamu hafikirii hisia Zangu kamwe. Hii ni kwa sababu wanadamu hawana hisia na "hudharau" vitu vyote isipokuwa Mimi. Kutokana na dosari za wanadamu, Nawasikitikia sana na hivyo Nimefanya kila Niwezalo, ili waweze kufurahia utele wa dunia hadi kiasi cha kuiridhisha mioyo yao kwa wakati wao duniani. Simtendei mwanadamu bila haki na kwa kuzingatia watu walionifuata kwa miaka mingi, Nimekuwa na moyo wa huruma kwao. Ni kama kwamba Siwezi kujizuia kuweka mikono Yangu juu yao ili kufanya kazi Yangu.

Jumatano, 9 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Watu! Furahini!

Mwenyezi Mungu alisema,  Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa.

Jumapili, 11 Februari 2018

Muujiza katika Msiba | Video ya Injili "Mungu Abariki"


Utambulisho

Watu mara nyingi husema kwamba "Dhoruba hukusanyika bila tahadhari na balaa huwafika watu kwa ghafula sana." Katika enzi yetu iliyopo ya kupanua kwa haraka kwa sayansi, uchukuzi wa kisasa na utajiri wa mali, maafa yanayotokea pande zote zinazotuzunguka huongeza kila siku. Tunapoligeuza na kulifungua gazeti au kuwasha TV, tunayoyaona hasa ni: vita, matetemeko ya ardhi, sunami, tufani, moto, mafuriko, ajali za ndege, maafa ya kuchimba madini, msukosuko wa kijamii, mgongano mkali sana, mashambulizi ya kigaidi nk.