Ijumaa, 15 Desemba 2017
Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani”
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Nyimbo za Neno la Mungu “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki
- I
- Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.
Nyimbo za Neno la Mungu "Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu"
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu
- I
- Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.
Jumatano, 13 Desemba 2017
Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki
Nitampenda Mungu Milele
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.
Nitampenda Mungu Milele
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako.
Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana.
Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni,
na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani.
Lakini Hujawahi kuniacha.
Jumanne, 12 Desemba 2017
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI |
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI
Mwenyezi Mungu alisema,Je, haya mambo ambayo Nimeongea kuhusu hivi karibuni ni ya kina zaidi kuliko ya wakati uliopita? (Ndiyo.) Hivyo uelewa wenu sasa basi ni wa kina zaidi? (Ndiyo.) Najua kwamba sasa watu wengi wananitarajia kusema ni nini hasa utakatifu wa Mungu, lakini Ninapozungumza kuhusu utakatifu wa Mungu Nitaongea kwanza kuhusu matendo ambayo Mungu anafanya.
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI |
Utakatifu wa Mungu (III)
Mwenyezi Mungu alisema, Mnahisi vipi baada ya kusema sala zenu? (Tunafurahia na kuguswa sana.) Wacha tuanze ushirika wetu. Tulishiriki mada ipi wakati uliopita? (Utakatifu wa Mungu.) Na ni kipengele kipi cha Mungu Mwenyewe kinahusisha utakatifu wa Mungu? Je, kinahusisha kiini cha Mungu? (Ndiyo.) Kwa hivyo ni nini hasa mada inayohusiana na kiini cha Mungu? Je, ni utakatifu wa Mungu? (Ndiyo.)
Jumatatu, 11 Desemba 2017
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V |
Utakatifu wa Mungu (II)
Habari za jioni kila mtu! (Habari ya jioni Mwenyezi Mungu!) Leo, kaka na dada, hebu tuimbe wimbo. Tafuta mmoja ambao mnapenda na ambao mmeimba mara nyingi kabla. (Tungependa kuimba wimbo wa neno la Mungu “Upendo Safi Bila dosari.”)
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV
Muumba |
Utakatifu wa Mungu (I)
Mwenyezi Mungu alisema,Tumekuwa na ushirika wa ziada wa mamlaka ya Mungu leo, na hatutazungumza kuhusu haki ya Mungu sasa hivi. Leo tutazungumza kuhusu mada nzima mpya—utakatifu wa Mungu. Utakatifu wa Mungu pia ni kipengele kingine cha kiini cha kipekee cha Mungu, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kushiriki mada hii hapa.
Jumapili, 10 Desemba 2017
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III
dutu ya Mungu |
Mamlaka ya Mungu (II)
Mwenyezi Mungu alisema,Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi?
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II
dutu ya Mungu |
Tabia ya Haki ya Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia.
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Kristo ndiye ukweli, njia, na uzima |
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I
Mamlaka ya Mungu (I)
Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)