Jumamosi, 6 Januari 2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mapenzi ya Mungu
utukufu kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

   Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake.

Ijumaa, 5 Januari 2018

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi   

    Katika kazi yao, wafanyakazi wanapaswa kuzingatia mambo mawili: Moja ni kufanya kazi kabisa kulingana na kanuni zilizowekwa masharti na mipangilio ya kazi. Wafanyakazi hawapaswi kukiuka kanuni hizi, wasifanye kazi kulingana na mawazo yao wenyewe, na siyo kulingana na mapenzi yao.

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

   Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

    La muhimu katika kufikia badiliko la tabia ni kujua asili ya mtu mwenyewe, na hili ni lazima litoke kwa ufunuo na Mungu. Ni katika neno la Mungu tu ambapo mtu anaweza kujua asili yake ya kutia kinyaa, afahamu katika asili yake mwenyewe sumu mbalimbali za Shetani, atambue kuwa yeye ni mjinga na mpumbavu, na atambue dalili dhaifu na hasi katika asili yake mwenyewe.

Jumatano, 3 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala

Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi yake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. 

Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,tabia ya Mungu
Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Watu wanaweza kupangwa kwa makundi, ambayo hubainishwa kwa roho zao. Watu wengine wana roho za binadamu, na wao huchaguliwa kwa njia iliyoamuliwa kabla. Ndani ya roho ya binadamu kuna sehemu iliyoamuliwa kabla. Watu wengine hawana roho; wao ni pepo ambao wamepenyeza. Hawajaamuliwa kabla na kuchaguliwa na Mungu.

Jumanne, 2 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,dutu ya Mungu
Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa

Kukufuru na kashfa dhidi ya Mungu ni dhambi ambayo haitasamehewa kwa enzi hii na enzi ijayo na wale wanaofanya dhambi hii hawatazaliwa upya kamwe. Hili linamaanisha kwamba tabia ya Mungu haiwezi kuvumilia kosa la wanadamu.

Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,upendo wa Mungu
Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Kitu hiki kinachoitwa mwanadamu kina uwezo wa kumsaliti Mungu, kwa hivyo unaweza kujua nini kutoka kwa hili? Baadhi ya watu huuliza: "Mungu alimuumba mwanadamu kwa hivyo Mungu hawezi kumzuia mwanadamu kumsaliti Yeye? Ni kwa nini mwanadamu bado ana uwezo wa kumsaliti Mungu? Je, Mungu si mwenyezi?"Hili ni tatizo, sio?

Jumatatu, 1 Januari 2018

Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,imani

Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi hawawezi kuainisha ni watu gani wana ukweli, watu gani hawana ukweli na watu gani husema mambo yaliyo na ukweli. Unapoulizwa kueleza ni nini maana ya "ukweli," huwezi kueleza kwa wazi. Lakini mara tu mtu anaposema kitu, unasema: “Mtazamo wake ni wa kweli. Maneno ayasemayo yanaonyesha ufahamu wa utendaji uliopatikana kupitia kwa uzoefu.”

Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kazi ya Mungu

Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi

    Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi.