Jumatatu, 8 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X


Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)
Leo, tunafanya ushirika juu ya mada maalum. Kwa kila mmoja wenu, kuna vitu viwili vikuu tu ambavyo mnapaswa kujua, kuvipitia na kuvielewa—na vitu hivi viwili ni vipi? Cha kwanza ni kuingia binafsi kwa watu katika maisha, na cha pili kinahusu kumjua Mungu. Leo Nawapa uchaguzi: Chagua kimoja. Mngependa kusikia kuhusu mada inayouhusu uzoefu wa maisha ya kibinafsi ya watu, au mngependa kusikia inayohusu kumjua Mungu Mwenyewe? Na kwa nini Ninawapa uchaguzi huu?

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

2. Mungu anaweka Uwiano Kati ya Vitu Vyote ili Kumpatia Binadamu Mazingira Imara kwa ajili ya Kuendelea Kuishi

Tumemaliza kusema juu ya jinsi ambavyo Mungu anatawala sheria za vitu vyote vilevile jinsi ambavyo Anawakimu na kuwalea binadamu wote kupitia sheria Zake kwa ajili ya viumbe vyote ndani ya sheria hizo. Hiki ni kipengele kimoja. Kinachofuata, tutazungumza juu ya kipengele kingine, ambacho ni njia moja ambayo Mungu ana udhibiti wa kila kitu.

Jumapili, 7 Januari 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

 Nne, Mungu alichora mipaka kati ya jamii za rangi tofautitofauti. Duniani kuna watu weupe, watu weusi, watu wa kahawia na watu wa njano. Hawa ni aina tofuati za watu. Mungu pia aliweka mawanda kwa ajili ya maisha ya aina hizi tofauti za watu, na bila kutambua, watu wanaishi ndani ya mazingira yao stahiki kwa kuendelea kuishi chini ya usimamizi wa Mungu.

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX

Pili, ni aina gani ya mazingira ambamo ndege na wanyama na wadudu wanaishi? Licha ya kuanzisha mipaka kwa ajili ya mazingira mbalimbali ya kijiografia, pia Aliweka mipaka kwa ajili ya ndege na wanyama, samaki, wadudu mbalimbali, na mimea yote.

Jumamosi, 6 Januari 2018

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Sura ya 42. Kwa Kutafuta Ukweli Tu Ndio Unaweza Kupata Mabadiliko Katika Tabia Yako

Kwa kutafuta ukweli tu ndipo utapata mabadiliko katika tabia yako: Hili ni jambo unalofaa kulielewa na kulielewa vizuri kabisa. Usipoelewa ukweli vya kutosha, utateleza kwa urahisi na kupotoka. Kutafuta kukua katika maisha lazima utafute ukweli katika kila kitu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mapenzi ya Mungu
utukufu kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 41. Jinsi ya Kujua Asili ya Mwanadamu

   Mwenyezi Mungu alisema, Je, ni vitu vipi vya asili ya mwanadamu? Unajua tu kuhusu upotovu wa mwanadamu, uasi, upungufu, dosari, fikra, na dhamira, lakini huwezi kugundua sehemu za ndani za asili ya mwanadamu—unafahamu tu safu ya nje, lakini huwezi kugundua chanzo chake.

Ijumaa, 5 Januari 2018

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 37. Kanuni Kuu za Jinsi Wafanyakazi Hufanya Kazi   

    Katika kazi yao, wafanyakazi wanapaswa kuzingatia mambo mawili: Moja ni kufanya kazi kabisa kulingana na kanuni zilizowekwa masharti na mipangilio ya kazi. Wafanyakazi hawapaswi kukiuka kanuni hizi, wasifanye kazi kulingana na mawazo yao wenyewe, na siyo kulingana na mapenzi yao.

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

   Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 36. Kujijua Mwenyewe Hasa Ni Kujua Asili ya Binadamu

    La muhimu katika kufikia badiliko la tabia ni kujua asili ya mtu mwenyewe, na hili ni lazima litoke kwa ufunuo na Mungu. Ni katika neno la Mungu tu ambapo mtu anaweza kujua asili yake ya kutia kinyaa, afahamu katika asili yake mwenyewe sumu mbalimbali za Shetani, atambue kuwa yeye ni mjinga na mpumbavu, na atambue dalili dhaifu na hasi katika asili yake mwenyewe.

Jumatano, 3 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada
ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala

Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi yake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. 

Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,tabia ya Mungu
Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu

Sura ya 33. Jinsi ya Kufahamu Tabia Yenye Haki ya Mungu


Watu wanaweza kupangwa kwa makundi, ambayo hubainishwa kwa roho zao. Watu wengine wana roho za binadamu, na wao huchaguliwa kwa njia iliyoamuliwa kabla. Ndani ya roho ya binadamu kuna sehemu iliyoamuliwa kabla. Watu wengine hawana roho; wao ni pepo ambao wamepenyeza. Hawajaamuliwa kabla na kuchaguliwa na Mungu.