Jumamosi, 20 Januari 2018

53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu.

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika”

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|45. Kanuni Zangu za Maisha Ziliniacha Nikiwa Nimeharibika

Changkai Mji wa Benxi, mkoa wa Liaoning
Maneno ya kawaida "Watu wazuri humaliza wakiwa wa mwisho" ni ambayo mimi binafsi ninayafahamu sana. Mimi na mume wangu sote tulikuwa hasa watu wasio na hatia: Wakati wa masuala yaliyohusisha faida au hasara yetu binafsi, hatukuwa aina ya watu wa kubishana na kusumbuana na wengine.

Ijumaa, 19 Januari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“27. Ni Nini Husababisha Uongo”

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|27. Ni Nini Husababisha Uongo

Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong
Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.”

Alhamisi, 18 Januari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo“23. Ufahamu wa Kuokolewa”

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|23. Ufahamu wa Kuokolewa

Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani.

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo"11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi"

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|11. Kiini cha Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumpandisha cheo hadi kuwa kiongozi wa wilaya.

Jumatano, 17 Januari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo "8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo"

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,imani katika Mungu

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo |8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau.

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo"7. Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka"

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo|7. Roho Ya Majivuno Kabla ya Kuanguka

Baixue Mji wa Shenyang
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi, nilihamishiwa hadi sehemu nyingine ya kazi. Wakati huo, nilikuwa na shukurani sana kwa Mungu. Nilihisi kwamba nilikuwa ninapungukiwa sana, lakini kwa njia ya ukuzwaji mtakatifu na Mungu, nilipewa nafasi ya kutimiza wajibu wangu katika eneo la kazi la ajabu hivyo.

Jumanne, 16 Januari 2018

Sura ya 52. Dalili za Udanganyifu Ndani ya Mwanadamu na Asili ya Mwanadamu Ambazo Humsaliti Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Sura ya 52. Dalili za Udanganyifu Ndani ya Mwanadamu na Asili ya Mwanadamu Ambazo Humsaliti Mungu

Ugumu ambao watu wanaweza kuukabili kwa urahisi katika uzoefu wao, vitu ambavyo vinawasababisha watu kuanguka kwa urahisi, na pahali ambapo udhaifu wa jaala wa kila mtu upo yote ni masuala ambayo lazima mtu awe na ujuzi nayo.

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Sura ya 51. Je Unajua Ukweli Hakika Ni Nini?

Ninyi nyote mara nyingi mmepata uzoefu wa hali ya kuwa katika mkutano, na kuhisi kana kwamba huna chochote cha kuhubiri kuhusu—hatimaye unajilazimisha na unasema kitu cha juu juu. Unajua vizuri kuwa maneno haya ya juu juu ni kanuni, lakini unahubiri kuyahusu hata hivyo, na mwishowe unahisi kuwa huna shauku, na watu chini yako wanasikiliza na wanahisi kuwa yanachosha sana—je hilo halijafanyika?

Jumatatu, 15 Januari 2018

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi

Watu wengi wana hali hizi ambazo tumejadiliana hapo awali, hata ingawa si wazi kama hapo awali. Hii ni kwa sababu watu hawakuwa na ufahamu wowote wa ukweli wakati huo, na hawakuelewa chochote. Siku hizi, unasikiliza zaidi, na kwa kiwango cha chini kabisa, nyote mnaelewa baadhi ya mafundisho.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Sura ya 48. Ni kwa Kuzielewa Hali Zako tu Ndipo Utakapoweza Kutembea Katika Njia Sawa

Ndani ya mwanadamu mara nyingi zipo baadhi ya hali mbaya. Miongoni mwao ni baadhi ya hali ambazo zinaweza kuwaathiri watu au kuwadhibiti. Kunazo baadhi ya hali ambazo zinaweza hata kumfanya mtu kuiacha njia ya kweli na kuelekea katika njia mbovu.

Jumapili, 14 Januari 2018

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,uaminifu

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Wengi wa watu hawaelewi kazi ya Mungu na si rahisi kuelewa kipengele hiki. Kitu cha kwanza ambacho lazima ujue ni kwamba kunawakati ulioteuliwa wa kazi yote ya Mungu na bila shaka si kama ilivyodhaniwa na watu. Mwanadamu hawezi kamwe kuelewa kazi ambayo Mungu ataifanya ama wakati Ataifanya.