Alhamisi, 15 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(6): Kurudi



Utambulisho

Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(5): Maisha katika Bwalo la Dansi



Utambulisho

Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

Jumatano, 14 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(4): Upotovu



Utambulisho

Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung’ang’ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu



Utambulisho

Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Jumanne, 13 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(2): Kupigania Dhahabu


Utambulisho

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen"(1): Jiwe, Karatasi, Makasi



Utambulisho

Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?

Jumatatu, 12 Februari 2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"


Utambulisho

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani. Filamu hii ya hali halisi inayoonyesha kifo cha ghafla na kisichotarajiwa cha Mkristo Mchina aliyeitwa Song Xiaolan–kifo ambacho kwacho polisi wa CCP walitoa maelezo yasiyopatana na yaliyogongana.

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China


Utambulisho

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.Miaka ya hivi karibuni pia imeona sera za serikali ya CCP zikianzishwa kwa kiwango kikubwa kwa lengo la "Usimilishaji " wa Ukristo.

Jumapili, 11 Februari 2018

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"


Utambulisho

Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano. Wakati wa mahojiano, polisi walimshawishi, kumtisha, kumpiga na kumtesa tena na tena katika majaribio yao ya kumshawishi ili amsaliti Mungu kwa kufichua walipokuwa viongozi na fedha za kanisaHasa katika usiku mmoja baridi sana wakati ambapo halijoto ilikuwa nyuzi ishirini chini ya sifuri, alivuliwa nguo kwa nguvu akawa uchi, akaroweshwa maji ya barafu, akashtuliwa kwa umeme kwenye viungo vyake vya uzazi, na kunyweshwa maji ya haradali kwa nguvu na polisi...

Muujiza katika Msiba | Video ya Injili "Mungu Abariki"


Utambulisho

Watu mara nyingi husema kwamba "Dhoruba hukusanyika bila tahadhari na balaa huwafika watu kwa ghafula sana." Katika enzi yetu iliyopo ya kupanua kwa haraka kwa sayansi, uchukuzi wa kisasa na utajiri wa mali, maafa yanayotokea pande zote zinazotuzunguka huongeza kila siku. Tunapoligeuza na kulifungua gazeti au kuwasha TV, tunayoyaona hasa ni: vita, matetemeko ya ardhi, sunami, tufani, moto, mafuriko, ajali za ndege, maafa ya kuchimba madini, msukosuko wa kijamii, mgongano mkali sana, mashambulizi ya kigaidi nk.

Jumamosi, 10 Februari 2018

Safina ya Siku za Mwisho | "Siku za Nuhu Zimekuja" Swahili Gospel Video



Utambulisho

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika. Upotovu wa mwanadamu unakuwa mwingi zaidi na zaidi. Kila mtu huyatukuza mabaya. Dunia nzima ya dini hufuata wimbi la ulimwengu. Hawaupendi ukweli hata kidogo. Siku za Nuhu zimeshafika! Ili kuwaokoa wanadamu, Mungu amerudi tena kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho miongoni mwa wanadamu. 

Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"

Utambulisho

Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina. Ni hatari sana kuamini katika Umeme wa Mashariki, na ni salama sana kuamini katika Kanisa la Nafsi Tatu. Hawatapitia taabu na wataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni.