Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15).
Jumatatu, 24 Septemba 2018
Anga Hapa ni Samawati Sana
Anga Hapa ni Samawati Sana
Hii hapa anga,
anga iliyo tofauti sana!
I
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.
Maneno ya Mungu yanaweka wazi ukweli wa upotovu wetu,
tunatakaswa na kukamilishwa na kila aina ya jaribio na usafishaji.
Tunayaaga maisha yetu maovu na kubadilisha sura yetu ya zamani kuwa sura mpya.
Tunatenda na kuzungumza kwa maadili na kuruhusu maneno ya Mungu yatawale.
Hii hapa anga,
anga iliyo tofauti sana!
I
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.
Maneno ya Mungu yanaweka wazi ukweli wa upotovu wetu,
tunatakaswa na kukamilishwa na kila aina ya jaribio na usafishaji.
Tunayaaga maisha yetu maovu na kubadilisha sura yetu ya zamani kuwa sura mpya.
Tunatenda na kuzungumza kwa maadili na kuruhusu maneno ya Mungu yatawale.
Jumapili, 23 Septemba 2018
Tamko la Hamsini na Saba
Tamko la Hamsini na Saba
Je, umechunguza kila fikira na mawazo yako, na kila tendo lako? Uko wazi kuhusu gani kati ya haya yanalingana na mapenzi Yangu na gani hayalingani? Huna uwezo wa kutambua haya! Mbona hujaja mbele Yangu? Je, ni kwa sababu Sitakuambia, au ni kwa ajili ya sababu nyingine? Unapaswa kujua hili! Kujua kwamba wale walio wazembe hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu kabisa au kupokea mwangaza na ufunuo mkuu.
Jumamosi, 22 Septemba 2018
Mchezo Mfupi wa Kuchekesha | "Njama za Polisi" (Swahili Subtitles)
Ili kuondoa imani za dini, serikali ya CCP ambayo inakana Mungu mara kwa mara inatumia mikakati ya kuchunguza Wakristo kama vile kuendesha uchunguzi wa siri na kufuatilia ili kuwafutilia mbali wote. Kichekesho cha Njama za Polisi kinahusu ushirikiano wa maafisa waovu wa CCP katika sura fiche na ofisa msaidizi, punda anayevaa ngozi ya simba, anayeendesha ufuatiliaji wa siri wa kuwatia mbaroni Wakristo wanaokusanyika kwenye nyumba ya Zhao Yuzhi.
Neno la Mungu | "Kazi katika Enzi ya Sheria" | How Did God Guide the Original Mankind?
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Kwenye Enzi ya Sheria, Yehova Aliweza kuweka wazi sheria nyingi kwa Musa kupitisha kwa wana wa Israeli waliomfuata kutoka Misri. … Yehova Alianzisha sheria Zake na taratibu ili huku Akiyaongoza maisha yao, watu wangeweza kumsikiliza na kuheshimu neno Lake na wala si kuasi neno Lake.
Ijumaa, 21 Septemba 2018
Wimbo wa Injili 2018 | "Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.
Video za Kikristo | “Kaa Mbali na Shughuli Zangu” Movie Clip: Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu
Utambulisho
Video za Kikristo | “Kaa Mbali na Shughuli Zangu” Movie Clip: Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu
Kwenye Biblia, Paulo alisema, “Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine” (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana.
Alhamisi, 20 Septemba 2018
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu
Wakati Bwana Yesu alipoonekana na kufanya kazi, wakuhani wa Kiyahudi, waandishi, na Mafarisayo walikashifu, wakashutumu, na kumkufuru vikali Bwana Yesu. Walimsulubisha Bwana Yesu msalabani, na wakawazuia watu kumkubali Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Mungu amekuwa mwili tena. Amejionyesha na anaifanya kazi. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini wanaipinga na kuishutumu vikali tena kazi ya Mungu ya siku za mwisho, wakiwazuia waumini kwa vyovyote vile dhidi ya kumkubali Mwenyezi Mungu.
"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!
Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu.
Jumatano, 19 Septemba 2018
Tushughulikie Vipi Umeme wa Mashariki kwa Njia Inayolingana na Mapenzi ya Bwana?
Wakati watu wanaposhuhudia kwamba Umeme wa Mashariki ndiko kurudi kwa Bwana Yesu, waumini wengi wanahisi kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli, na wanafaa kulitafuta na kulichunguza kwa bidii ili kuisikia sauti ya Bwana. Wachungaji na wazee wa kanisa wa dini, hata hivyo, wanaifasiri vibaya Biblia ili kulipinga na kulishutumu Umeme wa Mashariki.
Mchezo Mfupi wa Kuchekesha "Kukusanyika katika Zizi la Ng'ombe" | A Horrible Experience in a Meeting
Kwa sasa, mateso ya Wakristo ya serikali inayomkana Mungu ya CCP yanaongezeka kila siku. Waumini wanakabiliwa na kizuizi kwa kutenda imani yao mara kwa mara; hata hawawezi kupata pahali pa kukutana kwa amani. Bila chaguo jingine, Liu Xiumin anaweza tu kutayarisha mkutano na ndugu katika zizi lake la ng'ombe.
Jumanne, 18 Septemba 2018
Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)