Jumatano, 10 Oktoba 2018

210. Mungu Mwenye Mwili Anapendeza Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

210. Mungu Mwenye Mwili Anapendeza Sana

I
Baada ya Mungu kupata mwili, akiishi maisha kati ya wanadamu,
Aliona upotovu wa mwanadamu, hali ya maisha yake.
Mungu katika mwili alihisi sana kutojiweza kwa mwanadamu,
jinsi gani wanavyodharaulika; Alihisi huzuni yake.
Mungu alipata huruma zaidi kwa hali ya binadamu,
na hangaiko zaidi kwa wafuasi Wake kutoka kwa silika Yake ya mwili.
II
Moyoni mwa Mungu, wale Anaotaka kuwasimamia na kuwaokoa ni wa maana zaidi Kwake;
Anawathamini zaidi ya mengine yote.
Thamana kubwa Amelipa; usaliti na maumivu Ameyastahamili.
Lakini Hakati tamaa kamwe, hapunguzi makali katika kazi Yake,
bila majuto, bila malalamiko.
Mungu alipata huruma zaidi kwa hali ya binadamu,
na hangaiko zaidi kwa wafuasi Wake kutoka kwa silika Yake.
III
Yeye hakati tamaa kamwe, hapunguzi makali katika kazi Yake.
Hii ni kwa sababu Anajua kwamba ipo siku,
siku moja wanadamu watatambua wito Wake na kuguswa na maneno Yake,
watambue kwamba Yeye ni Bwana wa uumbaji, na kurudi upande Wake ...
Mungu alipata huruma zaidi kwa hali ya binadamu,
na hangaiko zaidi kwa wafuasi Wake kutoka kwa silika Yake.
Mungu alipata huruma zaidi kwa hali ya binadamu,
na hangaiko zaidi kwa wafuasi Wake kutoka kwa silika Yake ya mwili.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III" katika Neno Laonekana katika Mwili
Kujua zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni