Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo dutu-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo dutu-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 21 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 39

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 39

Fungua macho yako na uangalie na unaweza kuona nguvu Zangu kuu kila mahali! Unaweza kuwa na uhakika na Mimi kila mahali. Ulimwengu na anga unaeneza nguvu Zangu kuu. Maneno ambayo Nimenena yametimia katika ongezeko la joto la hali ya hewa, mabadiliko ya hali ya hewa, vioja vya watu, ulemavu wa elimumwendo ya kijamii, na udanganyifu wa mioyo ya watu. Jua linakuwa jeupe na mwezi unakuwa mwekundu; Yote yako katika machafuko. Je, bado huoni haya?

Jumatano, 19 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)


2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)


Kutoka wakati tunapoingia ulimwenguni tukilia kwa huzuni, sisi huanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa hadi ugonjwa hadi uzee hadi kifo; sisi huenda kati ya furaha na huzuni…. Wnadamu hasa hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani aliyeudhibiti mwanzo wa mwanadamu, na ni nani huamuru mustakabali wake? Leo, yote yatafichuliwa …


Jumapili, 9 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Tatu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini na Tatu


Mimi ndiye mwanzo, na Mimi ndiye mwisho. Mimi ndiye Mungu mmoja wa kweli aliyefufuka na kamili. Nasema maneno Yangu mbele yenu, na lazima muamini Ninachosema kwa thabiti. Mbingu na dunia zinaweza kupita lakini hakuna herufi moja au mstari mmoja wa kile Ninachosema kitawahi kupita. Kumbuka hili! Kumbuka hili! Punde ambapo Nimesema, hakuna neno hata moja limewahi kurudishwa na kila neno litatimizwa.

Jumatatu, 26 Novemba 2018

Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)


Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)



Mwenyezi Mungu anasema, "Asili ya mwanadamu ni tofauti kabisa na kiini Changu; hii ni kwa kuwa asili potovu ya mwanadamu inatokana kabisa na Shetani na asili ya mwanadamu imemilikiwa na kupotoshwa na Shetani. Yaani, mwanadamu anaishi chini ya ushawishi wa uovu na ubaya wake. Mwanadamu hakui katika ulimwengu wa ukweli au mazingira matakatifu, na aidha haishi katika mwanga. Kwa hivyo, haiwezekani ukweli kumilikiwa kiasili katika asili ya kila mtu, na zaidi ya hayo, hawawezi kuzaliwa na kiini cha kumwogopa, kiini cha kumheshimu Mungu

Alhamisi, 7 Juni 2018

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Nyinyi nyote mna furaha kupokea tuzo mbele ya Mungu na kutambuliwa na Mungu. Haya ni matakwa ya kila mtu baada ya yeye kuanza kuwa na imani kwa Mungu, kwani mwanadamu kwa moyo wake wote hutafuta mambo yaliyo juu na hakuna aliye tayari kubaki nyuma ya wengine.

Jumatano, 18 Aprili 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo"Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,mkristo

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo"Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu"

Gan'en    Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama "mtu mzuri."

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mkristo

Kila Neno la Mungu ni Maonyesho ya Tabia Yake

Hu Ke    Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Wakati wowote nilipoona maneno haya yaliyosemwa na Mungu, nilihisi kuwa na wasiwasi: “Kila sentensi Niliyoizungumza inaendeleza tabia ya Mungu. Mngefanya vizuri zaidi endapo mngetafakari kuhusu maneno Yangu kwa umakini, na kwa kweli mtafaidi pakubwa kutoka katika maneno haya.” Nilihisi kuwa na wasiwasi kwa sababu kuelewa tabia ya Mungu ni muhimu sana yote kwa ufahamu wa mwanadamu wa Mungu na kutafuta kumpenda na kumridhisha Yeye.

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa Akifanya kazi kwa kutafuta duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama.

Jumapili, 4 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Watu wanapomwona Mungu wa vitendo, wanapoishi maisha yao binafsi na, wanapotembea sako kwa bako na, na wanapoishi na Mungu Mwenyewe, wao huweka kando udadisi ambao umekuwa ndani ya mioyo yao kwa miaka mingi sana.