Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 24 Oktoba 2019

Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili?

2. Kupata Mwili Ni Nini? Ni Nini Kiini cha Kupata Mwili?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Mwanzoni kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa na Mungu, na Neno alikuwa Mungu” (Yohana1:1).
“Na Neno alifanywa kuwa mwili, na akakaa kati yetu, (nasi tukautazama utukufu wake, utukufu kama ule wa Mwana wa pekee aliyezaliwa na Baba,) aliyejawa neema na ukweli” (Yohana 1:14).
Mimi ndiye njia, ukweli na uhai” (Yohana 14:6).
“Yesu akasema kwake, nimekuwa nanyi kwa muda mrefu, na bado hujanijua, Filipo? Yeye ambaye ameniona amemwona Baba; na unasemaje basi, Tuonyeshe Baba? Huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi? Maneno ninenayo kwenu sineni juu yangu, ila Baba aishiye ndani yangu, anazifanya kazi hizo. Niamini kwamba niko ndani ya Baba, na Baba yuko ndani ya mimi, la sivyo niamini kwa ajili ya kazi hizo” (Yohana 14:9-11).
Mimi na yeye Baba ang utu mmoja” (Yohana10:30).

Jumapili, 21 Julai 2019

Neno la Mwenyezi Mungu | Sura ya 99

Neno la Mwenyezi MunguSura ya 99

Kwa sababu mwendo wa kazi Yangu unaongeza kasi, hakuna anayeweza kuenda mwendo sawa na nyayo Zangu, na hakuna anayeweza kupenya akili Yangu, lakini hii ndiyo njia tu ambayo lazima isafiriwe. Hii ni “wafu” yaani wakati Ninapoongea kuhusu kufufuliwa kutoka kwa wafu (inarejelea kukosa uwezo wa kufahamu mapenzi Yangu, kukosa uwezo wa kuelewa kile Ninachomaanisha kutoka kwa maneno Yangu. Haya ni maelezo mengine ya “wafu”, na hayamaanishi kutelekezwa na Roho Wangu). 

Jumanne, 2 Julai 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 91


Roho Wangu huongea na kutamka sauti Yangu daima—wangapi kati yenu wanaweza kunijua Mimi? Kwa nini lazima Nipate mwili na kuja kati yenu? Hili ni fumbo kubwa. Ninyi mnanifikiria kuhusu Mimi na kunitamani sana siku nzima, na mnanisifu, kunifurahia na kunila na kuninywa kila siku, na ilhali leo bado hamnijui Mimi. Ninyi ni wajinga na vipofu kweli! Jinsi gani mnavyonijua kidogo! Ni wangapi kati yenu wanaweza kufikiria kuhusu mapenzi Yangu? Yaani, ni wangapi kati yenu wanaoweza kunijua? Ninyi nyote ni wenye hila, watu waovu, na ilhali bado mnataka kuyaridhisha mapenzi Yangu? Sahau kuhusu hilo! 

Jumanne, 4 Juni 2019

Neno la Mwenyezi Mungu | Sura ya 79


Mwenyezi Mungu anasema, “Vipofu! Wajinga! Rundo la takataka lisilo na maana! Nyinyi hutenganisha ubinadamu Wangu wa kawaida na uungu Wangu! Je, hamfikiri kuwa hii ni dhambi dhidi Yangu? Na zaidi ni kuwa ni kitu ambacho ni vigumu kusamehe! Mungu wa vitendo anakuja miongoni mwenu leo lakini mwajua tu upande Wangu mmoja ambao ni ubinaamu Wangu wa kawaida, na hamjaona kabisa upande Wangu ambao ni wa kiungu kabisa. Je, unafikiri kuwa Sijui anayejaribu kunidanganya kisirisiri? Sikukosoi sasa, ila tu kutazama ni kiwango gani ambacho unaweza kufikia na hatima yako itakavyokuwa.

Jumanne, 21 Mei 2019

Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili



Neno la Mungu | “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” Sehemu ya Pili


      Mwenyezi Mungu anasema, “Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote.

Jumamosi, 18 Mei 2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 72


Mwenyezi Mungu anasema, “Sharti unitegemee kuondoa upungufu ama udhaifu mara tu unapougundua. Usichelewe; vinginevyo kazi ya Roho Mtakatifu atakuwa mbali sana nawe, na utaanguka nyuma mbali sana. Kazi ambayo Nimekuaminia inaweza kutimizwa kwa kupitia tu kukaribia kwako mara kwa mara, kuomba, na kuwa na ushirika katika uwepo Wangu. Kama sivyo, hakuna matokeo yoyote yatakayofikiwa, na kila kitu kitakuwa bure. Kazi Yangu leo si kama ilivyokuwa awali. Kadiri ya maisha kwa watu Ninaowapenda si kama ilivyokuwa mbeleni. 

Alhamisi, 2 Mei 2019

Matamshi ya Mungu | Sura ya 66


Kazi Yangu imeendelea hadi hatua ya sasa na yote imefuata mipango ya busara ya mkono Wangu, na pia kuwa fanikio Langu kuu. Nani kati ya wanadamu anaweza kufanya kitu kama hiki? Na je, si wanaona ni afadhali waingilie kati usimamizi Wangu? Lakini lazima ujue kuwa hakuna namna yeyote anaweza kufanya kazi Yangu badala Yangu, sembuse kuizuia, kwani hakuna yeyote anayeweza kusema au kufanya vitu Nifanyavyo na kusema. Ingawa hii ndio hali, watu bado hawanijui Mimi—Mwenyezi Mungu mwenye busara! 

Jumapili, 31 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 45

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 45

Mnawahukumu ndugu zenu hadharani kana kwamba si kitu. Hakika hamjui mema na maovu; hamna aibu! Je, hii si tabia mbaya ya kifidhuli, ya kutojali? Kila mmoja wenu amechanganyikiwa na ni mwenye moyo mzito; mnabeba mizigo mingi na hakuna sehemu Yangu ndani yako. Watu vipofu! Ninyi ni wakatili namna gani—hili litakoma lini?

Ijumaa, 8 Machi 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 109

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 109
Ninatoa matamko kila siku, kuzungumza kila siku, na kufichua ishara Zangu kuu na shani kila siku. Haya yote ni kazi ya Roho Wangu. Machoni pa watu Mimi ni mwanadamu tu, lakini hasa ni katika mwanadamu huyu ndipo Ninafichua vyote Vyangu na nguvu Yangu kuu.
Kwa kuwa watu humpuuza mwanadamu Niliye na huyapuuza matendo Yangu, wanafikiri kuwa hivi ni vitu ambavyo hufanywa na wanadamu.