Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 3 Julai 2019

14. Mungu Anatafuta Wale Walio na Kiu ya Kuonekana Kwake

14. Mungu Anatafuta Wale Walio na Kiu ya Kuonekana Kwake

Mungu huwatafuta wale wanaomtamani, wanaotamani Aonekane.
Mungu huwatafuta wale wasiopinga, watiifu kama watoto mbele Yake.
Mungu hutafuta wale ambao wanaweza, wanaweza kusikia maneno Yake,
wanaokubali yale ambayo Amewaaminia na kutoa moyo wao na mwili Kwake.
Kama hakuna kinachoweza kutikisa, kinachoweza kutikisa kujitoa kwako kwa Mungu,
Atakuangalia, Atakuangalia na fadhila, oo …
Mungu ataweka baraka Zake juu yako, juu yako, oo …
Mungu ataweka baraka Zake juu yako, juu yako!

Jumanne, 8 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (1) - Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi?




"Wimbo wa Ushindi" (1) - Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi?


Ishara ya maafa makubwa wakati wa siku za mwisho- miezi minne ya damu imetokea na nyota za angani zimechukua kuonekana kwa ajabu; maafa makubwa yanakaribia, na wengi wa wale walio na imani katika Bwana wamepata hisia ya kurudi Kwake kwa pili au kwamba tayari Amewasili. Wakati wote wanasubiri kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kwa hamu kubwa, labda tumefikiria juu ya maswali yafuatayo: Je, Bwana ataonekanaje kwa mwanadamu Atakaporudi katika siku za mwisho? Je, ni kazi gani ambayo Bwana atafanya wakati Atakapokuja tena? Je, unabii wa hukumu ya kiti kikuu cheupe cha enzi kutoka Kitabu cha Ufunuo utatimizwaje hasa? Video hii fupi itafunua majibu kwako!

Yaliyopendekezwa : Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumamosi, 22 Desemba 2018

Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu

Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu

I
Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.
Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,
Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.
Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.
Si aina ya sherehe.
Si muujiza. Si ono kuu.

Ijumaa, 25 Mei 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe

Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu? Au Yeye ni Mungu Mwenyewe?

Jumanne, 22 Mei 2018

“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Clip 4/5

“Jina la Mungu Limebadilika?!” – Je, Kuokolewa ni Sawa na Kutakaswa? | Swahili Gospel Movie Clip 4/5


Kwa kuwa wale walio na imani katika jina la Bwana Yesu tayari wameokolewa, basi kwa nini Mungu lazima afanye kazi ya hukumu katika siku za mwisho ili kutakasa na kuwaokoa wanadamu? Video hii itakupa jibu.

Jumanne, 1 Mei 2018

New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?

Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani. Siku moja ya jaala, alienda nje kuhubiri na akasikia habari fulani za kushtua: Bwana Yesu amerudi katika mwili, na Yeye ni Kristo wa siku za mwisho—Mwenyezi Mungu!

Jumatatu, 30 Aprili 2018

New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho


New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho


Cheng Huize ni mfanyakazi mwenzi katika kanisa la nyumba huko China. Ameamini katika Bwana kwa miaka mingi, na amefanya kazi kwa ajili ya Bwana kwa shauku thabiti. Yeye hujitwisha majukumu mengi kwa ajili ya kanisa, na ana huruma kwa ndugu zake. Kanisa lake lilipokua na ukiwa zaidi na zaidi kila siku, uovu katika kanisa lake ulionekana mara kwa mara zaidi na zaidi. Mchungaji alipendekeza kwa juhudi kwamba kanisa lilipaswa kuanzisha kiwanda, na akawaongoza wafuasi kwenye njia ya utajiri, na pia kuwashawishi wao kujiunga na Kanisa la Nafsi Tatu ili kwamba wangeweza kutegemea msaada toka kwa serikali ya kikomunisti ya China.