Ijumaa, 9 Februari 2018

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu



Utambulisho

Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu.

Swahili Christian Movie "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi Yangu




Utambulisho

Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake. Alikuwa na chaguo dogo — alilazimika kumpeleka Wenya nyumbani kwa mama yake, lakini mama yake alilenga kikamilifu kuendesha biashara yake na hakuwa na muda wa kumtunza Wenya, hivyo mara nyingi alipelekwa nyumbani kwa jamaa na marafiki zake kupata ulezi. Baada ya miaka mingi sana ya maisha ya kutunzwa na walezi, Wenya alihisi upweke na asiyejiweza, na alitamani ukunjufu wa nyumbani.

Alhamisi, 8 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tisa

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tisa

Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa za ajabu usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kufikiwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya kile Ninacho na Nilicho—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu. Miongoni mwa watu wote, Ninainua kichwa Changu na kutazama, na wote wananiona.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini

Kati ya binadamu, wakati mmoja Nilifanya muhtasari wa ukaidi na udhaifu wa mwanadamu, na hivyo Nilielewa udhaifu wa binadamu na Nikafahamu vema ukaidi wake. Kabla ya kuwasili kati ya binadamu, Nilikuwa nimekuja kuelewa kitambo furaha na huzuni kati ya binadamu—na kwa sababu ya hili, Ninaweza kufanya kile ambacho binadamu hawezi, na kusema kile ambacho binadamu hawezi, na Mimi hufanya hivyo kwa urahisi sana. Je, hii siyo tofauti kati ya Mimi na binadamu?

Jumatano, 7 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,watu wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Moja

Sijawahi kuwa na nafasi ndani ya mioyo ya watu. Ninapowatafuta watu kweli, wao hufunga na kubana macho yao na kupuuza matendo Yangu, kana kwamba yote Nifanyayo ni jaribio la kuwafurahisha, kutokana na hilo wao daima huchukizwa na matendo Yangu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Mbili

Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi. Hivyo, Mimi pia ni wa dhati kwa mwanadamu.

Jumanne, 6 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Tatu

Katika nyumba Yangu, kulikuwapo wakati mmoja wale waliolisifu jina Langu takatifu, ambao walifanya kazi bila kuchoka ili utukufu Wangu duniani ungejaza anga. Kwa sababu ya hili, Nilifurahi sana, moyo Wangu ulijawa na furaha—lakini nani angeweza kufanya kazi badala Yangu, akiacha usingizi usiku na mchana?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Nne

Wakati mmoja Nilimwalika mwanadamu kama mgeni nyumbani Kwangu, lakini alikimbia huku na huko kwa sababu ya miito Yangu–kama kwamba, badala ya kumwalika kama mgeni, Nilikuwa nimemleta kwenye eneo la kuuawa. Kwa hiyo, nyumba yangu inaachwa tupu, kwa maana mwanadamu ameepukana Nami daima, na daima amejilinda dhidi Yangu.

Jumatatu, 5 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tano

Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Mwanadamu hajawahi kamwe kujifunza chochote kutoka kwa neno la Mungu. Badala yake, mwanadamu huthamini tu umbo la nje la neno la Mungu, lakini kutojua maana yake halisi. Kwa hivyo, ingawa wengi wa watu wanapenda neno la Mungu, Mungu asema kwamba hawalithamini kwa kweli. Hili ni kwa sababu katika maoni ya Mungu, hata ingawa neno Lake ni kitu cha thamani, watu hawajaonja utamu wake halisi.

Jumapili, 4 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tatu

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tatu

Mungu anachukia urithi wote wa joka kubwa jekundu, na Hulichukia joka kubwa jekundu hata zaidi. Huu ni mzizi wa ghadhabu iliyo ndani ya moyo wa Mungu. Inaonekana kwamba Mungu anataka kutupa vitu vyote ambavyo ni mali ya joka kubwa jekundu ndani ya ziwa la moto wa jahanamu kuviteketeza kabisa.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Watu wanapomwona Mungu wa vitendo, wanapoishi maisha yao binafsi na, wanapotembea sako kwa bako na, na wanapoishi na Mungu Mwenyewe, wao huweka kando udadisi ambao umekuwa ndani ya mioyo yao kwa miaka mingi sana.