- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa
- I
- Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
- Amekuwa akifichua kwao
- Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho,
- bila kukoma, kila wakati.
- Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
- Mungu huzungumza na kufanya kazi
- ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Jumanne, 21 Agosti 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
- Wimbo wa Maneno ya Mungu |
- Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa
- I
- Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
- kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
- Atamwokoa na kumpata kabisa;
- kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
- Atamfikisha katika hatima sahihi.
- Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
- ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
- Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?
Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana. Baada ya kusoma neno la Mwenyezi Mungu na kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu, moyo wa Zheng Mu'en unathibitisha kuwa maneno ya Mwenyezi Mungu ni ukweli, na kwamba Mwenyezi Mungu huenda akawa ndiye kurudi kwa Bwana Yesu, hivyo anaanza kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho pamoja na ndugu zake. Lakini Mchungaji Ma, kiongozi wa kanisa lake, anapoona hili, anajaribu mara kwa mara kuingilia kati na kumzuia Zheng Mu'en.
Jumatatu, 20 Agosti 2018
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa. Kwa sababu ya kazi yake ya kuhubiri, alikamatwa na polisi wa serikali ya Kikomunisti ya Kichina na akafungwa gerezani ambako alivumilia ukatili na mateso. Maneno ya Bwana ndiyo yaliyomwongoza kwa kustahamili miaka saba ya maisha ya gerezani yasiyokuwa ya kibinadamu . Baada ya kutoka gerezani, mfanyakazi mwenza Chenguang anakuja kumwona na kumsomea kutoka kwa maneno ya Mwenyezi Mungu, akishuhudia kwamba Mungu ameonekana na anafanya kazi katika siku za mwisho. Anampatia pia nakala ya Neno Laonekana katika Mwili. Baada ya kusoma kiasi kidogo cha maneno ya Mwenyezi Mungu, Dong Jingxin anahisi kwamba yana mamlaka na kwamba yanatoka kwa Mungu. Anakuwa na moyo wa kutamani kutafuta.
Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini na Moja
Machoni pa Mungu, watu ni kama wanyama katika ulimwengu wa wanyama. Wao hupigana, huchinjana, na huwa na ushirikiano wa pekee mmoja kwa mwingine. Machoni pa Mungu, wao pia ni kama sokwe, wakipangiana hila bila kujali umri au jinsia. Kwa hivyo, yote ambayo wanadamu wote hufanya na kuonyesha hayajawahi kuupendeza moyo wa Mungu. Wakati ambao Mungu hufunika uso Wake ndio hasa wakati ambao watu duniani kote wanajaribiwa. Watu wote wanapiga kite kwa uchungu, wote wanaishi chini ya tishio la msiba, na hakuna hata mmoja wao aliyewahi kuepuka kutoka kwa hukumu ya Mungu.
Jumapili, 19 Agosti 2018
Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
Momo Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Kabla ya kumwamini Mungu, bila kujali chochote nilichokuwa nikifanya, sikuwahi kutaka kubaki nyuma. Nilikuwa tayari kukubali shida yoyote ili mradi ingemaanisha ningeinuka juu ya kila mtu mwingine zaidi. Baada ya kumkubali Mungu, mtazamo wangu uliendelea kuwa sawa, kwa sababu niliamini kikamilifu msemo, "Hakuna maumivu, hakuna faida," na kuona mtazamo wangu kama ushahidi wa msukumo wangu.
Jumamosi, 18 Agosti 2018
Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Video za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari. Alifikiri kuwa kwa kufuata imani yake kwa jinsi hii, Bwana atakaporudi bila shaka atanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Wakati Yu Fan, ili kutimiza ndoto yake nzuri, alihubiri na kumtumikia Bwana kwa ari, watumishi wenzake waliibua swali gumu: Ingawa dhambi zetu waumini zimesamehewa, ingawa tunaacha kila kitu na kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, bado tunafichua uovu wetu mara kwa mara, bado tunatenda dhambi na kumpinga Bwana. Mungu ni mtakatifu, hivyo watu waovu kama sisi tunawezaje kamwe kufaa kusifiwa na Yeye?
Ijumaa, 17 Agosti 2018
Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia
Swahili Gospel Full Movie "Fichua Siri Kuhusu Biblia" | Kufichua Hadithi ya Kweli ya Biblia
Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia. Aliamini kuwa hakukuwa na maneno yaliyonenwa na Mungu nje ya Biblia, na kwamba kuondoka kutoka kwa Biblia kutakuwa uzushi.
Feng Jiahui na wazazi wake waliamini katika Bwana tangu alipokuwa mdogo. Alipokuwa na umri wa miaka 18 aliingia katika shule ya seminari, na katika miaka yake ya 30 akawa mhubiri katika kanisa la nyumba huko Shanxi, Uchina. Kwa miaka mingi, Feng Jiahui alidumisha imani madhubuti ya kuwa Biblia ilitiwa msukumo na Mungu, na kwamba lazima tuamini katika Mungu kwa mujibu wa Biblia. Aliamini kuwa hakukuwa na maneno yaliyonenwa na Mungu nje ya Biblia, na kwamba kuondoka kutoka kwa Biblia kutakuwa uzushi.
Alhamisi, 16 Agosti 2018
Tamko la Arubaini na Saba
Tamko la Arubaini na Saba
Ili kuwafanya wanadamu wawe wakomavu katika maisha na kuwafanya wanadamu na Mimi tuweze kutimiza matokeo katika udhanifu wetu wa pamoja, Nimewaendeka wanadamu kila mara, Nikiwakubalia kupata chakula na riziki kutoka kwa neno Langu na kupokea utele Wangu kutoka kwake. Sijawahi kuwapa wanadamu sababu ya kuaibika, lakini mwanadamu hafikirii hisia Zangu kamwe. Hii ni kwa sababu wanadamu hawana hisia na "hudharau" vitu vyote isipokuwa Mimi. Kutokana na dosari za wanadamu, Nawasikitikia sana na hivyo Nimefanya kila Niwezalo, ili waweze kufurahia utele wa dunia hadi kiasi cha kuiridhisha mioyo yao kwa wakati wao duniani. Simtendei mwanadamu bila haki na kwa kuzingatia watu walionifuata kwa miaka mingi, Nimekuwa na moyo wa huruma kwao. Ni kama kwamba Siwezi kujizuia kuweka mikono Yangu juu yao ili kufanya kazi Yangu.
Jumatano, 15 Agosti 2018
Uzoefu wa Kutenda Ukweli
Uzoefu wa Kutenda Ukweli
Hengxin Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan
Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia "Ushirika na Kuhubiri Kuhusu Kuingia kwa Maisha," jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku. Wakati fulani baadaye, nilitambua kwa furaha kwamba ningeweza kutenda ukweli kiasi. Kwa mfano, siku za nyuma niliogopa kuonyesha upande wangu mwovu kwa wengine. Sasa kwa makusudi nilikuwa wazi na ndugu wa kiume na wa kike, nikichangua tabia yangu potovu. Kabla, wakati nilipopogolewa na kushughulikiwa, ningetoa udhuru na kukwepa wajibu.
Jumanne, 14 Agosti 2018
Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa
Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa
Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa. Kwa mfano, mnaweza kujua ni nini Mungu anataka muelewe na kutenda; hili ni jambo ambalo mtu wa kufaa ambaye ana uwezo wa uelewa anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya. Maneno ya Mungu sasa ni hasa wazi na bayana, na Mungu husema mambo mengi ambayo watu hawajachukulia maanani au hali mbalimbali za mtu. Maneno yake yanajumuisha yote, angavu kama nuru ya mwezi kamili. Hivyo sasa, watu wanaelewa masuala mengi; wanachokosa ni kuweka neno Lake katika vitendo. Lazima watu wapitie vipengele vyote vya ukweli kwa kina, na kuutafiti na kuutafuta kwa undani zaidi, sio kusubiri tu kuchukua kile ambacho wamepewa bila shida; vinginevyo wanakuwa wadogo zaidi ya barakala.
Jumatatu, 13 Agosti 2018
Epuka Ushawishi wa Giza na Upatwe na Mungu
Epuka Ushawishi wa Giza na Upatwe na Mungu
Je, ushawishi wa giza ni nini?
Ushawishi wa giza ni utumwa wa Shetani, ni ushawishi wa Shetani, na ni ushawishi ambao una hali ya kifo.
Baada ya kumwomba Mungu kwa dhati, unaelekeza moyo wako kwa Mungu kikamilifu, katika hatua hii, moyo wako unasongezwa na Roho wa Mungu, uko tayari kujitoa mwenyewe kikamilifu, na katika wakati huu, umeepuka ushawishi wa giza. Kama yote ambayo mtu anafanya yanampendeza Mungu na anapatana na matakwa ya Mungu, basi yeye ni mtu ambaye anaishi ndani ya maneno ya Mungu, yeye ni mtu anayeishi chini ya uangalizi na ulinzi wa Mungu. Kama watu hawawezi kutenda maneno ya Mungu, daima wakimpumbaza Mungu na kutenda katika namna ya uzembe na Mungu, bila kuamini katika uwepo wa Mungu, watu kama hao wote wanaishi chini ya ushawishi wa giza.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)