Jumanne, 28 Agosti 2018

Utajiri wa Maisha

Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku za mwisho, Mungu

Utajiri wa Maisha

Wang Jun Mkoa wa Shandong
Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na machozi, nahisi kwamba nimenufaika pakubwa kutoka kwa uzoefu wa ukandamizaji huu. Uzoefu huu mchungu haujanifanya tu kuona kwa dhahiri asili mbovu ya kupinga maendeleo, na sura mbaya ya joka kubwa jekundu, lakini pia nimetambua asili yangu mwenyewe ya upotovu.

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.… 

Tamko la Kumi na Mbili

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, ukweli, Kanisa
Tamko la Kumi na Mbili
Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangaziwa, na nyota zote zinaanza kubadilika. Inaonekana kana kwamba jamii nzima ya binadamu imesafishwa na kupangwa vizuri. Chini ya mng’aro wa mwale huu wa mwangaza kutoka Mashariki, wanadamu wote wanafichuliwa katika maumbo yao ya awali, macho yaking’aa, yakizuiwa kwa kuchanganyikiwa; na hawawezi hata kidogo kuficha sifa zao mbaya.

Jumapili, 26 Agosti 2018

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, siku za mwisho, Yesu



  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • | Unapaswa Kupokeaje
  • Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
  • I
  • Mwili wa Mungu utajumlisha 
  • kiini cha Mungu na maonyesho Yake. 
  • Atakapofanywa mwili, 
  • Ataleta 
  • matunda ya kazi Aliyopewa 
  • ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote, 
  • awape uhai na awaonyeshe njia. 
  • Mwili wowote usiokuwa na dutu 
  • Yake sio Mwili wa Mungu.

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Umeme wa Mashariki, baraka, Ukweli

 Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika? Na kwa nini sijabadilika hata kidogo licha ya miaka minane ya kumfuata Mungu? Nilikuwa na wasiwasi na tena na tena nilimtafuta Mungu kwa jibu.

Jumamosi, 25 Agosti 2018

Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, baraka

Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?

Siqiu   Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang
Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini unapitia mateso ya maradhi, misukosuko ya maisha, na kutelekezwa na marafiki na jamaa au kupitia maafa mengine yoyote maishani, basi, uaminifu na mapenzi yako Kwangu yataendelea kuwepo?” (“Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)” katika Neno Laonekana katika Mwili). Ninahisi hasa bila furaha—hisi ya huzuni hunyatia ndani yangu na moyo wangu husema malalamiko yake yasiyoghuna: Ewe Mungu, Unawezaje kuruhusu wale walio waaminifu Kwako na wanaokupenda Wewe kukutana na msiba wa jinsi hiyo?

Ijumaa, 24 Agosti 2018

"Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake.

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Mwenyezi Mungu, ushuhuda , majaribio

Ufafanuzi wa Tamko la Arubaini na Sita

Miongoni mwa maneno haya yote, hakuna yasiyoweza kusahaulika zaidi kama yale ya leo. Awali maneno ya Mungu yalifichua hali za mwanadamu au siri za mbinguni, lakini tamko hili halifanani na yale ya wakati uliopita. Halidhihaki wala kufanya mzaha, lakini ni kitu kisichotarajiwa kabisa: Mungu aliketi chini na Akazungumza na watu kwa utulivu. Kusudi Lake ni gani? Unaona nini Mungu anaposema, “Leo, Nimeanza kazi mpya juu ya ulimwengu. Nimewapa watu walio duniani mwanzo mpya, na Nimewaambia wote watoke nyumbani Mwangu. Na kwa kuwa kila mara watu hupenda kujideka, Nawashauri wajijue, na wasiisumbue kazi Yangu kila mara”? Ni huu "mwanzo mpya" ambao Mungu anazungumzia ni upi?

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Mwenyezi Mungu alisema,Tamko la Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu, Mungu, Ukweli
Tamko la Tisa
Nataka kukukumbusha kwamba huwezi kuwa na wasiwasi hata kidogo juu ya neno Langu na kutokujali kwa aina yoyote hakukubaliki. Unapaswa kulisikiliza na kulitii na kutenda mambo kulingana na nia Zangu. Daima lazima uwe macho na kamwe usiwe na tabia ambayo ni ya kiburi na ya kujidai, na lazima kila wakati unitegemee Mimi ili kutupilia mbali tabia ya zamani ya asili ambayo hukaa ndani yako. Unapaswa daima kuwa na uwezo wa kudumisha hali ya kawaida mbele Yangu, na uwe na tabia thabiti Kuwaza kwako lazima kuwe kwa busara na wazi na hakupaswi kuyumbishwa au kudhibitiwa na mtu yeyote, tukio, au kitu. Unapaswa kuwa mtulivu daima katika uwepo wangu na daima udumishe ukaribu wa kuendelea na kushiriki na Mimi. Utaonyesha ujasiri wa kipekee na kusimama imara katika ushahidi wako Kwangu. Simama na kuzungumza kwa ajili Yangu na usiogope kile ambacho watu wengine wanasema. Zingatia kukidhi nia Zangu na usidhibitiwe na wengine.

Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, ukweli


  • Wimbo wa Maneno ya Mungu | 
  • Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu
  • ni Kumwokoa Binadamu
  •  
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.

Jumatano, 22 Agosti 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini

Mwenyezi Mungu, siku za mwisho, hukumu
Ufafanuzi wa Tamko la Ishirini
Mungu aliwaumba wanadamu wote, na amewaongoza wanadamu wote mpaka leo. Hivyo, Mungu anajua yote yafanyikayo miongoni mwa wanadamu: Anajua uchungu ulio ndani ya ulimwengu wa mwanadamu, Anaelewa utamu ulio ndani ya ulimwengu wa mwanadamu, na kwa hiyo kila siku Yeye hufafanua hali za maisha za wanadamu wote, na, zaidi ya hayo, hushughulikia udhaifu na upotovu wa wanadamu wote.

Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Umeme wa Mashariki, hukumu, Ukweli

Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin    Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan
Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia.