Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli. Watu humwomba Mungu tu wakati kitu kinawatendekea. Katika wakati huu wote, umewahi kweli kumwomba Mungu? Je, umewahi kutoa machozi ya uchungu mbele ya Mungu?
Ijumaa, 30 Novemba 2018
Alhamisi, 29 Novemba 2018
Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"
Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation
Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani. Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.Jumatano, 28 Novemba 2018
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Asili na Utambulisho wa Mwanadamu
Kwa kweli, hawajasikitika, na wamekuwa wakitazama kile ambacho kimefanywa kwa miaka elfu sita iliyopita mpaka leo, kwa kuwa Sikuwaacha. Badala yake, kwa sababu mababu zao walikula tunda kutoka kwa mti wa ujuzi wa mema na maovu lililotolewa na yule mwovu, waliniacha kwa ajili ya dhambi. Mema ni Yangu, wakati maovu ni ya yule mwovu ambaye hunihadaa kwa ajili ya dhambi. Mimi Siwalaumu mwanadamu, wala Siwaangamizi kwa ukatili au kuwatolea kuadibu kusiko na huruma, kwani uovu haukuwa wa wanadamu kiasili.
Jumanne, 27 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP
Wakati ambapo CCP hakipati mafanikio katika jitihada zake za kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu kupitia mateso yao ya ukatili na kutia kasumba, wao kisha huzitumia familia zao kama chambo kuwajaribu. Wakiwa wamekabiliwa na mbinu hizi duni, Wakristo husimamaje imara na haki, wakizikanusha? Na wao hutoa onyo gani?
Jumatatu, 26 Novemba 2018
Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)
Tatizo Zito Sana: Usaliti (2)
Mwenyezi Mungu anasema, "Asili ya mwanadamu ni tofauti kabisa na kiini Changu; hii ni kwa kuwa asili potovu ya mwanadamu inatokana kabisa na Shetani na asili ya mwanadamu imemilikiwa na kupotoshwa na Shetani. Yaani, mwanadamu anaishi chini ya ushawishi wa uovu na ubaya wake. Mwanadamu hakui katika ulimwengu wa ukweli au mazingira matakatifu, na aidha haishi katika mwanga. Kwa hivyo, haiwezekani ukweli kumilikiwa kiasili katika asili ya kila mtu, na zaidi ya hayo, hawawezi kuzaliwa na kiini cha kumwogopa, kiini cha kumheshimu Mungu.
Jumapili, 25 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu
CCP kinamkaribisha mchungaji na Kanisa la Utatu kujaribu kumtia kasumba na kumbadilisha Mkristo mmoja. Huyu Mkristo na mchungaji wanafungua mjadala mzuri katika kukabiliana na dhana zilizotolewa na mchungaji wa Utatu. Je, Mkristo huyu atampingaje huyu mchungaji? Kwa nini jaribio hili la CCP katika kutia kasumba na ubadilishaji utaishia kushindwa?
Tazama Video: Filamu za Injili, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumamosi, 24 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu
Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu. Huwaelewi watu, umeshindwa kuwaacha wazazi wako, umekosa utambuzi wa kiroho, huijui kazi ya Roho Mtakatifu, na huna wazo la jinsi ya kula na kunywa ya neno Langu[a].
Ijumaa, 23 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4) : Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu
Ili kumdanganya na kumjaribu Mkristo mmoja kumtelekeza Mungu, CCP kilimwita mchungaji mmoja wa Kanisa la Utatu kumtia kasumba, na Mkristo huyu na mchungaji wakazua mjadala mzuri juu ya maneno ya Paulo: "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu" (Warumi 13:1). Fasiri zao tofauti ni zipi za maneno haya? Mchungaji wa Utatu yuko chini ya CCP na huchukua njia ya Kanisa la Utatu—kwa kweli ni kusudi gani la siri liko hapo? Mkristo atakanaje hoja hii ya mchungaji "kuwa chini ya mamlaka ya juu"?
Alhamisi, 22 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu
Umeme wa Mashariki | Kusudi la Kuwasimamia Binadamu
Ikiwa watu wanaweza kweli kuielewa kikamilifu njia sahihi ya maisha ya binadamu na vilevile kusudi la usimamizi wa Mungu wa binadamu, wasingeshikilia mategemeo yao ya baadaye na majaliwa yao binafsi kama hazina mioyoni mwao. Wasingetamani tena kuwatumikia wazazi wao ambao ni wabaya zaidi kuliko nguruwe na mbwa. Je, mategemeo ya baadaye na majaliwa ya mwanadamu si kabisa kile kinachoitwa nyakati za sasa "wazazi" wa Petro?
Jumatano, 21 Novemba 2018
Jumanne, 20 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (2)
Enzi ya Neema ilihubiri injili ya toba, na alimradi mwanadamu aliamini, basi angeokolewa. Leo, badala ya wokovu kuna majadiliano tu ya ushindi na ukamilifu. Haisemwi katu kwamba mtu mmoja akiamini, familia yake yote itabarikiwa, au kwamba wokovu ni ya mara moja na kwa wote. Leo, hakuna mtu anayezungumza maneno haya, na vitu kama vile vimepitwa na wakati. Wakati huo kazi ya Yesu ilikuwa ni ukombozi wa wanadamu wote.
Jumatatu, 19 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP
Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi. Kwa hiyo Wakristo wamepokeaje utiaji kasumba na ubadilishaji wa CCP? Kwa nini wanaendelea kufuatilia kwa ukaidi njia ya kumwamini Mungu na kumfuata Mungu? Video hii fupi ya ajabu umetayarishiwiwa ili kuyajibu maswali haya.
Yaliyopendekezwa: Kanisa la Mwenyezi Mungu Hutoka wapi?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)