Jumamosi, 12 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (2) - Jinsi ya Kugundua Mafarisayo wa Kisasa



"Wimbo wa Ushindi" (2) - Jinsi ya Kugundua Mafarisayo wa Kisasa



Wakati Bwana Yesu alikuja kufanya kazi Yake, mkuu wa ulimwengu wa dini alimshutumu na kumhukumu, na hatimaye wakaungana na serikali ya Kirumi kumsulubisha. Siku hizi mwenendo wa dhambi wa wale walio katika ulimwengu wa kidini ambao humpinga Mwenyezi Mungu ni sawa na maneno na matendo ya kutisha ya Wayahudi waliompinga Bwana Yesu wakati huo. Kwa nini hili liko hivi? Unajua sababu ya msingi ya kwa nini wanampinga Mungu? Je, unataka kuelewa kiini chao? Basi tazama video hii!

Masomo yanayohusiana: Ushahidi wa Wokovu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Ijumaa, 11 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)


Tangu watu waanze kuikanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine, ni kwa sababu kazi ya Mungu bado haijawaleta watu katika hatua hii. 

Alhamisi, 10 Januari 2019

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 16

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu | Sura ya 16
Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile watu wana kasoro nyingi sana, na akili zao ni za kawaida sana, na, zaidi ya hayo, kwa kuwa uwezo wao wa kukubali ni haba mno, bila kujali vile Mungu hunena maneno Yake kwa dhahiri, wanabaki palepale bila kutikisika, kana kwamba wana ugonjwa wa akili. 

Jumatano, 9 Januari 2019

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Wale Wanaomjua Mungu Pekee Ndio Wanaoweza Kuwa na Ushuhuda Kwa Mungu

Ni sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka hasa wa kumjua Mungu. Kumridhisha Mungu kunaafikiwa kwa msingi wa kufahamu mapenzi ya Mungu, na kuyafahamu mapenzi ya Mungu, ni muhimu kumjua Mungu. Ufahamu huu wa Mungu ni maono ambayo muumini anapaswa kuwa nayo; huu ndio msingi wa imani ya mwanadamu katika Mungu. 

Jumanne, 8 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (1) - Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi?




"Wimbo wa Ushindi" (1) - Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi?


Ishara ya maafa makubwa wakati wa siku za mwisho- miezi minne ya damu imetokea na nyota za angani zimechukua kuonekana kwa ajabu; maafa makubwa yanakaribia, na wengi wa wale walio na imani katika Bwana wamepata hisia ya kurudi Kwake kwa pili au kwamba tayari Amewasili. Wakati wote wanasubiri kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kwa hamu kubwa, labda tumefikiria juu ya maswali yafuatayo: Je, Bwana ataonekanaje kwa mwanadamu Atakaporudi katika siku za mwisho? Je, ni kazi gani ambayo Bwana atafanya wakati Atakapokuja tena? Je, unabii wa hukumu ya kiti kikuu cheupe cha enzi kutoka Kitabu cha Ufunuo utatimizwaje hasa? Video hii fupi itafunua majibu kwako!

Yaliyopendekezwa : Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatatu, 7 Januari 2019

Neno la Mwenyezi Mungu | Utendaji (7)

Utendaji (7)


Ubinadamu wenu ni wenye upungufu mno, hali yenu ya maisha ni ya chini na kushusha hadhi mno, hamna ubinadamu, na hamna utambuzi. Hiyo ndiyo maana mnahitaji kujiandaa na mambo ya ubinadamu. Kuwa na dhamiri , urazini, na utambuzi, kujua jinsi ya kuzungumza na kutazama vitu, kuwa makini kwa usafi, kutenda kama binadamu wa kawaida—vyote hivi ni ufundi ustadi wa ubinadamu wa kawaida. Mnapofanya hivi vizuri, ubinadamu wenu ni wa kiwango kinachohitajika. Kipengele kingine ni kujihami kwa ajili ya maisha yenu ya kiroho. 

Jumapili, 6 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Utendaji (6)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (6)


Leo, watu wengi hawana hata urazini au kujitambua kwa Paulo, ambaye, ingawa aliangushwa na Bwana Yesu, tayari alikuwa na azimio la kufanya kazi na kuteseka kwa ajili Yake. Yesu alimpa ugonjwa, na baadaye, Paulo aliendelea kuvumilia ugonjwa huu mara alipoanza kufanya kazi. Kwa nini alisema alikuwa na mwiba mwilini mwake? Mwiba, kwa kweli, ulikuwa ugonjwa, na kwa Paulo, ulikuwa ugonjwa wa kufisha. 

Jumamosi, 5 Januari 2019

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (6) : Mwenyezi Mungu Hutoa Njia ya Uzima wa Milele kwa Binadamu


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (6) : Mwenyezi Mungu Hutoa Njia ya Uzima wa Milele kwa Binadamu


Mwishoni mwa Enzi ya Sheria, Wayahudi walishikilia kwa ukaidi sheria yao na kukataa kukubali kazi ya Bwana Yesu, ambayo iliwafanya waanguke katika giza na kupoteza wokovu wa Mungu. Sasa katika zile siku za mwisho, dunia nzima ya kidini inalinda tu jina la Bwana Yesu na kukataa kumkubali Mwenyezi Mungu, na hivyo kuisababisha kuwa na ukiwa zaidi na zaidi na kuwa jangwa lilisoweza kuzaa matunda. Kwa nini hasa iko hivi?

Ijumaa, 4 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (5)

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (5)

Wakati wa Enzi ya Neema, Yesu alizungumza maneno kiasi na Akatekeleza hatua moja ya kazi. Kulikuwa na muktadha kwayo, na yalikuwa ya kufaa kwa hali za watu kwa wakati huo; Yesu alinena na kufanya kazi kama ilivyostahili muktadha wa wakati huo. Pia Alinena unabii kiasi. Alitabiri kwamba Roho wa ukweli angekuja wakati wa siku za mwisho, wakati ambapo Roho wa ukweli angetekeleza hatua ya kazi.

Alhamisi, 3 Januari 2019

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (5) : Matokeo Yanayofikiwa na Kazi ya Mungu Aliyepata Mwili


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (5) : Matokeo Yanayofikiwa na Kazi ya Mungu Aliyepata Mwili


Bwana Yesu alitabiri kwamba katika zile siku za mwisho, ngano itatenganishwa na matawi, kondoo na mbuzi, na watumishi wema kutoka kwa watumishi waovu. Unajua jinsi unabii huu unatimizwa? Je, ungependa kujua njia ambayo Mungu anafanya kazi ya kutenganisha kila moja kwa aina yake katika zile siku za mwisho? Ikiwa unataka kupata ufahamu zaidi, tafadhali angalia video hii fupi!

Jumatano, 2 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Utendaji (4)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (4)

Amani na furaha Nizungumziayo leo sio sawa na yale ambayo unaamini na kufahamu. Ulikuwa ukifikiri kwamba amani na furaha yalimaanisha kuwa na furaha siku nzima, kutokuwako kwa magonjwa au misiba katika familia yako, kuwa mwenye furaha kila mara ndani ya moyo wako, bila hisia zozote za huzuni, na furaha isiyoelezeka ndani yako haijalishi kiasi cha urefu wa maisha yako mwenyewe. 

Jumanne, 1 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)



Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)

Lazima muwe na uwezo wa kuishi kwa kujitegemea, kuweza kula na kunywa maneno ya Mungu ninyi wenyewe, kupitia maneno ya Mungu ninyi wenyewe, na kuishi maisha ya kiroho ya kawaida bila uongozi wa wengine; lazima muweze kuyategemea maneno ya Mungu ya leo ili kuishi, kuingia katika uzoefu wa kweli, na kuona kwa hakika. Ni wakati huo tu ndipo mtaweza kusimama imara.