Unapoitazama dondoo hii ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo Kuangamizwa kwa Dunia kwa Gharika na Mungu, utagundua tabia takatifu, ya haki ya Mungu na utunzaji Wake na huruma kwa wanadamu, na utapata njia ya wokovu wa Mungu katikati ya maafa.
Mwenyezi Mungu alisema, Muumini lazima awe na maisha ya kawaida ya kiroho huu ni msingi wa kupitia maneno ya Mungu na kuingia katika hali halisi. Sasa hivi, je, maombi yote, kule kuja karibu na Mungu, kuimba, kusifu, kutafakari, na kule kujaribu kuelewa maneno ya Mungu ambayo mnatenda yanafikia viwango vya maisha ya kawaida ya kiroho?