Jumatano, 7 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,watu wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Moja

Sijawahi kuwa na nafasi ndani ya mioyo ya watu. Ninapowatafuta watu kweli, wao hufunga na kubana macho yao na kupuuza matendo Yangu, kana kwamba yote Nifanyayo ni jaribio la kuwafurahisha, kutokana na hilo wao daima huchukizwa na matendo Yangu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Mbili

Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi. Hivyo, Mimi pia ni wa dhati kwa mwanadamu.

Jumanne, 6 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko La Thelathini na Tatu

Katika nyumba Yangu, kulikuwapo wakati mmoja wale waliolisifu jina Langu takatifu, ambao walifanya kazi bila kuchoka ili utukufu Wangu duniani ungejaza anga. Kwa sababu ya hili, Nilifurahi sana, moyo Wangu ulijawa na furaha—lakini nani angeweza kufanya kazi badala Yangu, akiacha usingizi usiku na mchana?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,ndugu na dada

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Thelathini na Nne

Wakati mmoja Nilimwalika mwanadamu kama mgeni nyumbani Kwangu, lakini alikimbia huku na huko kwa sababu ya miito Yangu–kama kwamba, badala ya kumwalika kama mgeni, Nilikuwa nimemleta kwenye eneo la kuuawa. Kwa hiyo, nyumba yangu inaachwa tupu, kwa maana mwanadamu ameepukana Nami daima, na daima amejilinda dhidi Yangu.

Jumatatu, 5 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini na Tano

Muda unapita, na kufumba na kufumbua leo imefika. Chini ya uongozi wa Roho Wangu, watu wote wanaishi katikati ya mwanga Wangu, na hakuna anayefikiria yaliyopita ama kuiwekea jana maanani. Nani hajawahi kuishi katika wakati wa sasa?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Nne

Mwanadamu hajawahi kamwe kujifunza chochote kutoka kwa neno la Mungu. Badala yake, mwanadamu huthamini tu umbo la nje la neno la Mungu, lakini kutojua maana yake halisi. Kwa hivyo, ingawa wengi wa watu wanapenda neno la Mungu, Mungu asema kwamba hawalithamini kwa kweli. Hili ni kwa sababu katika maoni ya Mungu, hata ingawa neno Lake ni kitu cha thamani, watu hawajaonja utamu wake halisi.

Jumapili, 4 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tatu

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Tatu

Mungu anachukia urithi wote wa joka kubwa jekundu, na Hulichukia joka kubwa jekundu hata zaidi. Huu ni mzizi wa ghadhabu iliyo ndani ya moyo wa Mungu. Inaonekana kwamba Mungu anataka kutupa vitu vyote ambavyo ni mali ya joka kubwa jekundu ndani ya ziwa la moto wa jahanamu kuviteketeza kabisa.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 2: Tamko la Pili

Watu wanapomwona Mungu wa vitendo, wanapoishi maisha yao binafsi na, wanapotembea sako kwa bako na, na wanapoishi na Mungu Mwenyewe, wao huweka kando udadisi ambao umekuwa ndani ya mioyo yao kwa miaka mingi sana.

Jumamosi, 3 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja

Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya “Mungu Mwenyewe” ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee.

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Kumi

Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu. Hii hasa ni maana ya msingi ya "Mungu Mwenyewe" ambaye daima ni mpya na kamwe si mzee. Hata kama vitu vilifanywa vizuri katika siku za zamani, kwa kadri vilivyo sehemu ya enzi iliyopita, Mungu anaviweka vitu kama hivyo katika kundi la vitu vinavyotokea katika wakati kabla ya Kristo, huku wakati wa sasa ukijulikana kama wakati wa "baada ya Kristo[a]."Kuhusu suala hili, ujenzi wa kanisa unaweza kuchukuliwa kama kitangulizi cha lazima cha ujenzi wa ufalme. Uliweka msingi kwa Mungu kutumia nguvu Zake kuu katika ufalme.

Ijumaa, 2 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza

Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Tisa

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Ufafanuzi wa Tamko la Tisa

Katika mawazo ya watu, Mungu ni Mungu, na mwanadamu ni mwanadamu. Mungu haneni lugha ya mwanadamu, wala mwanadamu hawezi kunena lugha ya Mungu, na kwa Mungu, madai ya mwanadamu Kwake ni rahisi, ilhali matakwa ya Mungu kwa mwanadamu hayafikiki na hayafikiriki kwa mwanadamu. Ukweli, hata hivyo, ni kinyume kabisa: Mungu anataka tu “asilimia 0.1” ya mwanadamu.