Jumanne, 1 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)



Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (3)

Lazima muwe na uwezo wa kuishi kwa kujitegemea, kuweza kula na kunywa maneno ya Mungu ninyi wenyewe, kupitia maneno ya Mungu ninyi wenyewe, na kuishi maisha ya kiroho ya kawaida bila uongozi wa wengine; lazima muweze kuyategemea maneno ya Mungu ya leo ili kuishi, kuingia katika uzoefu wa kweli, na kuona kwa hakika. Ni wakati huo tu ndipo mtaweza kusimama imara.

Jumatatu, 31 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (1)



Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (1)

Mbeleni, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda kombo. Sharti la Mungu kwa mtu ni kwao kuwa na uwezo wa kuishi kwa kudhihirisha ubinadamu wa kawaida. Njia za mtu wa kisasa kuhusiana na chakula na mavazi, kwa mfano.

Jumapili, 30 Desemba 2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza



"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza


Unajua jinsi hukumu ya kiti cha enzi kikuu cheupe iliyotabiriwa katika Ufunuo inatimizwa? Je, hukumu ya kiti cha enzi kuu cheupe iko mbinguni, au duniani? Je, inafanywa na Mungu aliyepata mwili, au kwa Roho? Video hii fupi itajibu maswali yenu moja baada ya nyingine.

Jumamosi, 29 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 3

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 3

Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi.

Ijumaa, 28 Desemba 2018

“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Kwa Nini Mungu Anapata Mwili Kufanya Kazi Yake katika Siku za Mwisho | Swahili Christian Movie Clip 3/6




“Nimewahi Treni ya Mwisho” – Kwa Nini Mungu Anapata Mwili Kufanya Kazi Yake katika Siku za Mwisho | Swahili Christian Movie Clip 3/6


Katika zile siku za mwisho, Bwana amerejea katika mwili kueleza ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumukuanzia na familia ya Mungu. Hata hivyo, ndugu wengi katika Bwana wanaendelea kuamini kwamba Yehova alifanya kazi kama Roho katika Agano la Kale na katika siku za mwisho Mungu ataendelea kufanya kazi katika umbo la Roho bila haja yoyote ya kupata mwili. Hivyo kwa nini Mungu anakuwa mwili ili kufanya kazi Yake katika siku za mwisho? Je, Roho wa Mungu hawezi kufanya kazi hii? Kuna tofauti gani kati ya kazi ya Mungu mwenye mwili na kazi ya Roho?

Yaliyopendekezwa: Filamu za Injili, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Alhamisi, 27 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 2

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 2

Kanisa la Filadelfia limechukua umbo, na hili limesababishwa kabisa na neema na rehema za Mungu. Watakatifu wameleta upendo wao wa Mungu mbele na kamwe hawakuyumbayumba kutoka kwa njia yao ya kiroho. Kuwa imara katika imani kwamba Mungu mmoja wa kweli Amekuwa mwili, ya kwamba Yeye ndiye Mkuu wa ulimwengu Ambaye hutawala vitu vyote—hii imethibitishwa na Roho Mtakatifu na ni ushahidi thabiti! Kamwe hauwezi kubadilika!

Jumatano, 26 Desemba 2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia




"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) :Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia


Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40)."Kwani kama umeme, unavyomulika chini ya mbingu kutoka sehemu moja, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17: 24-25). Ni maana gani inayodokezwa na "Mwana wa Adamu atakuja" na "ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa katika siku yake" kama ilivyoelezwa katika maandiko haya? Ikiwa Bwana anarudi kuja na mawingu, "kupata mateso mengi" na "kukataliwa na kizazi hiki," hii inaelewekaje?

Yaliyopendekezwa: Filamu za Injili, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Jumanne, 25 Desemba 2018

Ufalme wa Mungu Umetengenezwa Kati ya Wanadamu

Ufalme wa Mungu Umetengenezwa Kati ya Wanadamu

I
Katika dunia na ulimwengu, hekima ya Mungu inaweza kuonekana.
Kati ya vitu vyote na watu wote, hekima Yake inapata matunda mazuri.
Kila kitu kinafanana na mazao ya ufalme wa Mungu.
Binadamu anapumzika chini ya mbingu ya Mungu kama kondoo katika malisho ya Mungu.

Jumatatu, 24 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 12

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 12

Ikiwa una tabia ambayo si thabiti, nyepesi kuhamaki kama upepo au mvua, kama huwezi kuendelea kusonga mbele, basi fimbo Yangu haitakuwa mbali na wewe. Unaposhughulikiwa, kadiri hali ilivyo mbaya zaidi, na kadiri unavyoteswa zaidi, ndivyo upendo wako kwa Mungu unavyoongezeka, na unaacha kushikilia dunia. Bila njia nyingine, unakuja Kwangu, na unapata tena nguvu na imani yako. Ilhali, katika hali rahisi, ungeboronga.

Jumapili, 23 Desemba 2018

Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days




Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days


Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano.

Jumamosi, 22 Desemba 2018

Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu

Umeme wa Mashariki | Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu

I
Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.
Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,
Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.
Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.
Si aina ya sherehe.
Si muujiza. Si ono kuu.

Ijumaa, 21 Desemba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)



2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)


Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Ungependa kujua ni nani huwatawala na kuwakimu wanadamu na vitu vyote? Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo ili kujua zaidi kuhusu mamlaka ya pekee ya Mungu.

Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu