Alhamisi, 24 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho


"Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho


Watu wengi wanaamini kwamba tayari dhambi zetu zimesamehewa na kupata wokovu kwa sababu tulitangaza imani yetu kwa Bwana, basi kwa nini Bwana anakuja kutuchukua moja kwa moja hadi kwenye ufalme wa mbinguni? Kwa nini bado Anahitaji kuwahukumu na kuwatakasa? Je, hukumu ya Mungu kwa wanadamu katika siku za mwisho ni utakaso na wokovu, au ni shutuma na uharibifu wa wanadamu? Kipande hiki kitakufunulia siri hizo.

    Yaliyopendekezwa: Filamu za Injili, Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumatano, 23 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 12

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 12


Wakati umeme unatoka Mashariki—ambapo pia ni wakati hasa Naanza kunena—wakati umeme unakuja, mbingu yote inaangaziwa, na nyota zote zinaanza kubadilika. Inaonekana kana kwamba jamii nzima ya binadamu imesafishwa na kupangwa vizuri. Chini ya mng’aro wa mwale huu wa mwangaza kutoka Mashariki, wanadamu wote wanafichuliwa katika maumbo yao ya awali, macho yaking’aa, yakizuiwa kwa kuchanganyikiwa; na hawawezi hata kidogo kuficha sifa zao mbaya.  

Jumanne, 22 Januari 2019

Matamshi ya Kristo | Sura ya 11

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya kristo | Sura ya 11

Kila binadamu anapaswa kukubali uchunguzi wa Roho Wangu, anapaswa kuchunguza kwa makini kila neno na kitendo chao, na, zaidi ya hayo, anapaswa kuangalia matendo Yangu ya ajabu. Mnahisi aje wakati wa kuwasili kwa ufalme duniani? Wakati Wanangu na watu Wangu wanarudi katika kiti Changu cha enzi, Naanza rasmi hukumu mbele ya kiti kikuu cheupe cha enzi. Ambayo ni kusema, Nianzapo binafsi kazi Yangu duniani, na wakati enzi ya hukumu inakaribia tamati yake, Naanza kuelekeza maneno Yangu kwa ulimwengu mzima, na kutoa sauti ya Roho Wangu kwa dunia nzima. 

Jumatatu, 21 Januari 2019

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 9

Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 9


Mwenyezi Mungu anasema, "Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong’aa, na uwe na hali kama yake na hata zaidi uwe na thamani yake. Kwa sababu Nilitoka katika nchi takatifu, si kama yungiyungi, ambalo lina jina tu na halina dutu kwa sababu lilikuja kutoka katika matope na si kutoka nchi takatifu. 

Jumapili, 20 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 8

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 8

Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na wakati hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambao watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza nafsi Yangu na wanafaa kwa matumizi Yangu. Nani anaweza kusimama na kushirikiana na Mimi? Upendo wa mwanadamu Kwangu ni mdogo mno na imani yake Kwangu ni ndogo ajabu. 

Jumamosi, 19 Januari 2019

"Wimbo wa Ushindi" (4) - Ishara za kuja kwa Bwana Yesu kwa mara ya pili.



"Wimbo wa Ushindi" (4) - Ishara za kuja kwa Bwana Yesu kwa mara ya pili.


Wakati Bwana Yesu alikuja kufanya kazi Yake, Alihubiri Injili ya Ufalme wa mbinguni popote kwa kiwango kikubwa, na ilivuma katika ulimwengu wote wa kidini na taifa la Kiyahudi. Siku ambayo Bwana Yesu anarudi kufanya kazi Yake, imewatikisa watu kutoka kwa kila farakano na kikundi, na kusababisha hisia fulani duniani kote. Je, umeona ishara za kuja kwa Bwana kwa mara ya pili? Je, umekaribisha kurudi Kwake?

Ijumaa, 18 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 35

Ngurumo saba zinatoka kwenye kiti cha enzi, zinautikisa ulimwengu, zinageuza mbingu na ardhi, na zinavuma angani! Sauti hiyo inapenya sana kiasi kwamba watu hawawezi kuepuka wala kujificha. Nuru ya ghafla ya umeme na sauti ya radi zinatumwa mbele, zikiiangusha chini mbingu na ardhi papo hapo, na watu wamekaribia kufa. Kisha, dhoruba ya mvua kali inafagia ulimwengu wote kwa kasi ya umeme, ikianguka kutoka angani!

Alhamisi, 17 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Utendaji (8)

Umeme wa Mashariki | Utendaji (8)

Kuna mengi kupita kiasi juu ya watu ambayo yamekengeuka na yasiyo sahihi, hawawezi kamwe kujishughulikia wenyewe, na hivyo bado ni muhimu kuwaongoza katika kuingia kwenye njia sahihi; kwa maneno mengine, wana uwezo wa kudhibiti maisha yao ya kibinadamu na maisha ya kiroho, kuweka mambo yote mawili katika vitendo, na hakuna haja ya wao mara nyingi kusaidiwa na kuongozwa. Wakati huo tu ndipo watakuwa na kimo cha kweli.

Jumatano, 16 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (6)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (6)


Kazi na kuingia kwa uhalisia ni vya kiutendaji na vinarejelea kazi ya Mungu na kuingia kwa mwanadamu. Mwanadamu kukosa kabisa uelewa juu ya sura halisi ya Mungu na kazi ya Mungu kumesababisha shida kubwa katika kuingia kwake. Leo hii, watu wengi bado hawajui kazi ambayo Mungu anatimiza katika siku za mwisho, au kwa nini Mungu Anastahimili fedheha kubwa kupita kiasi kuja katika mwili na kusimama na mwanadamu katika makovu na majonzi. 

Jumanne, 15 Januari 2019

“Wimbo wa Ushindi” – Washindi wanakuwa aje? | Clip 3/7




Je, unajua historia ya uumbaji wa washindi 144,000 waliotabiriwa na Kitabu cha Ufunuo? Je, unaelewa umuhimu wa Mungu kuruhusu Chama Cha Kikomunisti cha China kutekeleza udhalimu wake wa hasira, ukandamizaji, na mateso ya watu waliochaguliwa na Mungu?

Jumatatu, 14 Januari 2019

Kazi na Kuingia (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Kazi na Kuingia (4)

Ikiwa mwanadamu anaweza kuingia kabisa kulingana na kazi ya Roho Mtakatifu, maisha yake yatachipuka haraka kama mmea wa mwanzi baada ya mvua ya majira ya kuchipua. Kwa kuangalia kimo cha sasa wa watu wengi, hakuna mtu hata mmoja anayetilia mkazo umuhimu wa uzima. Badala yake, watu wanaweka umuhimu katika baadhi ya mambo ya juujuu yasiyokuwa na umuhimu. Au wanakimbia huku na kule na kufanya kazi bila malengo na ovyoovyo bila mwelekeo, hawajui waende njia gani na zaidi kwa ajili ya nani. "Wanajificha wenyewe katika unyenyekevu."

Jumapili, 13 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

 Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (2)

Kazi na kuingia kwenu ni duni kabisa; mwanadamu hafikirii kwamba kazi ni muhimu na hata yeye ni mzembe zaidi na kuingia. Mwanadamu haoni haya kuwa mafunzo mazuri anayopaswa kuingia ndani; kwa hivyo, katika uzoefu wake wa kiroho, kwa kweli yote ambayo mwanadamu huona ni njozi za kiajabu. Si mengi yanatakiwa kutoka kwenu kuhusu uzoefu wenu katika kazi, lakini, kama yule anayetakiwa kukamilishwa na Mungu, mnapaswa kujifunza kumfanyia Mungu kazi ili hivi punde muweze kuupendeza moyo wa Mungu.